JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Nikiendaga tanga, milima usambara huko juuu
Kuna siku tulikuwa kwenye kibanda cha pombe
Nkawauliza wenyeji Hivi nyie wazee wenu ilikuwaje
Wakaja kuanza Maisha hku milimani... Wakaniambia
Walikimbiaga kodi ya kichwa

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]siku za gulio kulikuwa na kizuizi cha wagambo kama huna kipande cha malipo ya kodi ya kichwa unakamatwa
 
Sijui nani anakumbuka ile meli iliyokuja kutusaidia Patrol miaka ya 2000 mpaka tukakamata wavuvi haramu (Samaki wa Magufuli) wakati JPM akiwa wizara ya Uvuvi na Mifugo

Basi hii ni Meli kubwa ya kufanya doria baharini (Offshore Patrol Ship) inayomilikiwa na Serikali ya South Africa na ilikuja kwa ushirikiano wa SADC

Hii meli ilianza kuundwa mwaka 2003 na ilipewa jina kwa heshima ya huyu mama inaitwa Sara BaartmanView attachment 1532996View attachment 1532997
Nimejifunza kitu
 
Mimi huyo mwenye T shirt nyeusi
23270131_1841402282856961_1147692286020131553_o.jpg
 
Back
Top Bottom