JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Screenshot_20211202-064959.jpg
 
Pichani ni rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni akisalimiana na baba yake mzazi Mzee Amos Kaguta kijijini Rwakitura muda mfupi baada ya majeshi ya NRA kuiteka Kampala mwaka 1986.

Kulia ni muhandisi Winnie Byanyima ambae kwa sasa ni mke wa kiongozi wa upinzani Kiza Besige.

Ikumbukwe kuwa kabla ya kuolewa na Besige Winnie Byanyima alikuwa ni hawara wa Museveni wakati walipo kuwa katika vita vya msituni.

#[emoji420]Maktaba Yetu[emoji1241]View attachment 2027983
Kumbe na Besige mwenyewe alikuwa personal Dr wa Museveni
 
Miss Tanzania 1967

View attachment 1520075
Miss Tanzania wa kwanza mweusi.
View attachment 1520076
Teressq Shayo Miss Tanzania 1968
Kumbe wadada kuvaa vinguo vifupi wameanza kitambo?🤣🤣

Ila huu uvaaji ndo ulifanya mashindano yakapigwa marufuku kwa miaka 27 kwakua yanapingana na tamaduni zetu. Yalikuja kurudi tena mwaka 1994 na alishinda Aina Maeda

View attachment 1520077
Miss Tanzania(Teresa Shayo), Miss Uganda(Rosemary Salmon), Miss Nigeria(Rosalind Balogun) na Miss Ghana(Araba Vroon) wakiwa katika mashindano ya Miss World, UK


Bi Teresa Shayo alifariki mwaka 2007 huko Ujerumani alikokua akiishi kwa Kansa ya Tumbo...RIP
Hii picha ya Miss Tanganyika ime trend sana wiki hii.... she was so cute by the way.
 
Hii picha ya Miss Tanganyika ime trend sana wiki hii.... she was so cute by the way.
Aiseee

Imetrend kumbe wamemkumbuka???

NJE YA MADA

Embu anayejua aniambie kuhusu Aina Maheda huyu mdada bibi mrembo wa wakati huo ilikuaje kuhusu maisha yake na sasa yuko wapi?
 
Back
Top Bottom