Kulia ni Giriki dereva wa Tawaqali Bus. Hii itakuwa ni katikati ya miaka ya 1990. Njia zake zilikuwa ni Dar-Songea, Dar-Mbeya-Kyela, Dar-Tunduma na Dar-Lusaka. Nasikia yuko kwenye malori siku hizi.
madereva wa zamani walikuwa wanaringa ase
mkifika Singida mkiona kabeba begi tu ujue mkatafute vyumba vya kulala hapo safar haiendelei tena mpaka kesho...mara ya kwanza chipsi nimelia Singida mwaka 1995
Leyland Abion hiyo pichani ikiwa inapandisha kwenye milima na kona kali za Kawetere, taratibu na kwa uangalifu mkubwa sana. Hiyo ni barabara ya kutoka Mbeya mjini kwenda wilaya ya Chunya miaka ya 1960, safari ambayo ilikuwa inagharimu karibu siku nzima na ukisema uende mbio ukipata ajali hapo basi hakitoki kitu. Lakini baada baada ya barabara kutengenezwa vizuri kama inavyoonekana kwenye picha ya pili hapo chini safari imekuwa ikitumia masaa machache sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.