Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usangi hii mkuu eeh,?Nimekulia hapaView attachment 1520703
Mshana Jr, mwaka 1984 hujazaliwa wewe? Kwa hiyo umezaliwa 2000 na ngapi?Hili ni gari la Waziri mkuu marehemu Sokoine baada ya kupata ajali mwaka 1984. Sikuwepo wakatu huo, nilikuwa bado sijazaliwa ni tukio natamani kujua undani wake, ilikuwaje msafara wa waziri mkuu ukapata ajali wakati tunajua jinsi misafara ya viongozi wakuu wa kitaifa kama Rais, makamu na Waziri mkuu inavyolindwa kwa nguvu zote za dola. Mliokuwepo mlioshuhudia hili tukio la kihistoria,
a) Chanzo cha ajali kilikuwa ni nini? Ajali ilitokea wakati gani na eneo gani?
b) Waziri mkuu Sokoine alipoteza maisha palepale katika eneo la tukio au alifariki akiwa hospitali?
c) Kuna wengine waliopoteza maisha katika ajali hiyo zaidi ya Waziri mkuu?
d) Ni nani aliyezembea hadi Waziri mkuu akapata ajali na kupoteza maisha? Alichukuliwa hatua gani?
e) Je gari la Waziri mkuu lilikidhi vigezo na viwango vya kiusalama kama kuwa na airbags, bodi imara la chuma kigumu nk?
f) Kuna uchunguzi wowote uliofanyika kubaini kama kulikuwa na njama au hila? Majibu ya uchunguzi yalikuwaje?View attachment 2765970
Sent using Jamii Forums mobile app
Air bags gari ya mwaka 1984? Kweli wee ni ka kindae) Je gari la Waziri mkuu lilikidhi vigezo na viwango vya kiusalama kama kuwa na airbags, bodi imara la chuma kigumu nk?
Nimeweka hayo maswali kwa ajili ya wasiojuaMshana Jr, mwaka 1984 hujazaliwa wewe? Kwa hiyo umezaliwa 2000 na ngapi?
Yeah hiyo tech ni ya kitambo zaidiAir bags gari ya mwaka 1984? Kweli wee ni ka kinda