Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Andika namba kwenye comments. Namba ambayo itatoa ufafanuzi halisi ya majibu ya swali lililoandikwa kwenye kichwa cha uzi huu.
1: Kuongezeka upotoshaji katika dini
2: Kuongezeka kwa hali ngumu ya maisha ikiandamana na matumaini finyu au lah kabisa.
3: Maswali yasiyojibika vizuri na majibu yasioridhisha kuhusiana na asili ya uwepo wa Mungu na utendaji kazi wake.
4: Kupungua kwa maadili katika vijana
5: Kupitia hali ya kutojibiwa maombi ya changamoto kali wanazopitia ingawa walisali sana.
6: Kuongezeka kwa ufahamu binafsi na mazingira yanayomzunguka, Upataji wa Elimu ya kileo na kuimalika nia ya kuhoji chochote.
7: Vijana wana jitahada finyu ya kumfikia Mungu kimaombi na pia Kutojifunza kwa mapana Biblia na Quran.