JF Scheduled Maintenance - October 2020

Nimeona marekebisha ila upande wa kutoa video you tube kuweka humu naona imefutwa au kuondolewa au ni vile hatujajua kuendana na mabadiliko?
Mkuu
Endelea Kuperuzi Na Kudadisi Utakutana Na Mengi
Kipya Kinyemi, Yaliyomo Yamo. Tuendelee Kujifunza
Mabadiliko Yatatufanya Tuichukie Jamiiforums.com
Baadaye Tukizoea Tutaifurahia Kupitia Maboresho
 
Ya saiv hayawezi chukiwa maana maombi ya wengi yamefikiriwa hasa kuchange username bila ruhusa za mods.

Da'Vinci upo huru dogo saiv ni mwendo wa kujibadilishia jina
Mkuu
Endelea Kuperuzi Na Kudadisi Utakutana Na Mengi
Kipya Kinyemi, Yaliyomo Yamo. Tuendelee Kujifunza
Mabadiliko Yatatufanya Tuichukie Jamiiforums.com
Baadaye Tukizoea Tutaifurahia Kupitia Maboresho
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚nimecheka mpaka nimepaliwa. Unafurahisha ila sasa kubadili tena mpaka upite mwezi mmoja ujue
Bwana weee upele umefika kwa mkunaji sasa hivi nabadiri. Nilikua nawaza kubadilisha
 
Mkuu samahani,naomba uliza hivi mnawezaje tumia JF angali hamuoni kabisa?
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ushawahi ona wanafunzi wanachezea documents ofisini kwa mwalimu mkuu,ndo sie sasa tunachezea sharubu za wenye ban hapa
ameshaanza kulalamika

huenda litakuwa "kigoma2020"
 
Thumb up kwa JF technical support.

Hili sikuwahi kulijua Kama Kuna wasioona Wana access vizuri tu humu jukwaani.

Hongera Maxence Melo
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ushawahi ona wanafunzi wanachezea documents ofisini kwa mwalimu mkuu,ndo sie sasa tunachezea sharubu za wenye ban hapa
mjadala huu pia utazalisha ban?
mweh mweh
 
Nimejaribu kuweka uzi wangu mpya umegoma kabisa kuonekana hili nalo vipi?
Hili tatizo mimi kwangu lipo mpaka sasa.Kila nikiweka uzi naambiwa uzi unasubiri ruhusa ya moderator kuonekana kwa users wengine.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚daah
Duuh haa sikumbuki kabisa, ningekusaidia kutafuta. Bado hawajaweka option ya kufungua pm iliyotungwa nikuvamie huko๐Ÿคญ๐Ÿคญ
 
Bw Melo, mbona censorship ya post hapa JF imekuwa kali hivi? Sisi usiotujua hauturuhusu tena kupost hapa. Majina yaleyale unayoyajua, ndiyo yanayoruhusiwa kuposti hapa. Vipi mnatishwa huko? Bw Melo, tafadhali mpigie kura Lissu ili kurudisha uhuru wa habari tena katika nchi yetu.
 
Mkuu samahani,naomba uliza hivi mnawezaje tumia JF angali hamuoni kabisa?
Tunatumia visoma scree yan screen readers. Hapa simu au computa yako inatumia text to speach engine. Hii hutoa sauti ambayo hutuwezesha kujua nini kinafanyika katika kifaa hicho iwe simu au komputa.A screen reader is a form of assistive technology that renders text and image content as speech or braille output. Screen readers are essential to people who are blind, and are useful to people who are visually impaired, illiterate, or have a learning disability.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ