Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
MkuuNimeona marekebisha ila upande wa kutoa video you tube kuweka humu naona imefutwa au kuondolewa au ni vile hatujajua kuendana na mabadiliko?
Endelea Kuperuzi Na Kudadisi Utakutana Na Mengi
Kipya Kinyemi, Yaliyomo Yamo. Tuendelee Kujifunza
Mabadiliko Yatatufanya Tuichukie Jamiiforums.com
Baadaye Tukizoea Tutaifurahia Kupitia Maboresho