JF special thread kwaajili ya Facts

Nshakupata, loud n clear 👌
 
Ni kweli, ndo mana watoto wa kike hasa kwenye twenties wanapenda zaidi wanaume waliowazidi umri. Wakiwa na wanaume wa umri wao wanaishiaga kugombana kwasabu wanakua kama wapo mbele ya muda
 
I disagree with this. Wanawake wangekuwa wana mature faste emotionaly basi heartbreaks nyingi zisingekuwa zinatokea.

Wanawake wenyewe tunawachezea hisia kama vile tunavyopiga dandana bwana🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…