Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,537
- 13,004
Nshakupata, loud n clear 👌Normaly hata katika ukuaji, watoto wa kike wanakua haraka kimwili na kiakili, ndio maana unakuta mtoto wa kike wa miaka 15 ana uwezo wa kumanage nyumba kama mama amesafiri, same applies to emotions, at the age 32, we are emotional matured kuna mambo madogo madogo hayasumbui kabisa