Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,537
- 13,004
Ni kweli!Mhm hawa sasa wanatudanganya
Wauzieni wasonjo pia nao wavimbe! 🤣 🤣 🤣The London Bridge, originally constructed in 1831, was starting to fall apart by the 1960s.
As a result, the City of London decided to sell it and build another. It was taken apart in 1963 after being bought by American oil tycoon Robert P. McCullogh and shipped to Arizona..... nawaza lile daraja la mfugale sijui tunaweza kuliuza or we can ship to Somalia
Hata 50° tena balaa 🤣Baadhi ya bakteria wanaweza kuishi kwa joto la juu kuliko 100 ° C kwa kina kirefu baharini ambapo maji hayachemki kwa sababu ya shinikizo kubwa.la pressure.
Je unaweza kuingiza kidole kwenye maji yenye jotoridi centgredi 100°c ? [emoji3]
😳😳😲unafahamu kuwa kuna aina ya mnyoo mwenye umbo la kustaajabisha aitwaye "hummerhead worm" View attachment 1748470
huyu hufika urefu wa inch 10 na zaidi yaani ni saizi ya nyoka kabisa, yeye hula minyoo mwenzake ambao ni earthworms na pia hana madhara kabisa kwa binadamu yeye pia huzaliana kwa kujigawanya vipande viwili.View attachment 1748472
Kweli kabisa, hii ilikua mbinu ya mwendazake aiseeThe greatest weapon of an oppressor is the maintenance of ignorance.
The greatest threat to an oppressor is an educated slave.
People become very nervous about you when you become intelligent.
Ignorance protect the powerful from the weak, that is why they want to keep you ignorant.
If you are going to become successful, you must first deal with educating yourself.
Yani hii kweli kabisa. Kuna perfume ya mwalimu wangu time niko primary nlikua nampenda sanaa huyo ticha, she was hot AF. Hata niisikie leo siisahau, naikumbuka inavyonukia mpaka sasa.Your nose is connected to the memory center of your brain, that is why smells can trigger powerful memories
Kwa sisi tunaovutiwa na perfumes, ukipita mahali ukasikia harufu ya perfume similar na ya bebe unaanza kummisi
Kweli kabisa, hii ilikua mbinu ya mwendazake aisee
Yaani it will take ages kuzinduka kwenye huu ujingaIf that is the case, he managed because we let that happen.
No one can get rid of our ignorance zaid yetu.
Yaani it will take ages kuzinduka kwenye huu ujinga
Am not sure if you among them😅😅Am I the one one your addressing here Mkuu kuwa bado nimelala?
Maana kotekote inatiki. 😄
Am not sure if you among them😅😅