JF special thread kwaajili ya Facts

JF special thread kwaajili ya Facts

The London Bridge, originally constructed in 1831, was starting to fall apart by the 1960s.
As a result, the City of London decided to sell it and build another. It was taken apart in 1963 after being bought by American oil tycoon Robert P. McCullogh and shipped to Arizona..... nawaza lile daraja la mfugale sijui tunaweza kuliuza or we can ship to Somalia
Wauzieni wasonjo pia nao wavimbe! 🤣 🤣 🤣
 
unafahamu kuwa kuna aina ya mnyoo mwenye umbo la kustaajabisha aitwaye "hummerhead worm"
1618057282359.jpg

huyu hufika urefu wa inch 10 na zaidi yaani ni saizi ya nyoka kabisa, yeye hula minyoo mwenzake ambao ni earthworms na pia hana madhara kabisa kwa binadamu yeye pia huzaliana kwa kujigawanya vipande viwili.
1618057298073.jpg
 

Attachments

  • 1618057282359.jpg
    1618057282359.jpg
    77.5 KB · Views: 1
unafahamu kuwa kuna aina ya mnyoo mwenye umbo la kustaajabisha aitwaye "hummerhead worm" View attachment 1748470
huyu hufika urefu wa inch 10 na zaidi yaani ni saizi ya nyoka kabisa, yeye hula minyoo mwenzake ambao ni earthworms na pia hana madhara kabisa kwa binadamu yeye pia huzaliana kwa kujigawanya vipande viwili.View attachment 1748472
😳😳😲
 
The greatest weapon of an oppressor is the maintenance of ignorance.

The greatest threat to an oppressor is an educated slave.

People become very nervous about you when you become intelligent.

Ignorance protect the powerful from the weak, that is why they want to keep you ignorant.

If you are going to become successful, you must first deal with educating yourself.
 
The greatest weapon of an oppressor is the maintenance of ignorance.

The greatest threat to an oppressor is an educated slave.

People become very nervous about you when you become intelligent.

Ignorance protect the powerful from the weak, that is why they want to keep you ignorant.

If you are going to become successful, you must first deal with educating yourself.
Kweli kabisa, hii ilikua mbinu ya mwendazake aisee
 
Your nose is connected to the memory center of your brain, that is why smells can trigger powerful memories

Kwa sisi tunaovutiwa na perfumes, ukipita mahali ukasikia harufu ya perfume similar na ya bebe unaanza kummisi
Yani hii kweli kabisa. Kuna perfume ya mwalimu wangu time niko primary nlikua nampenda sanaa huyo ticha, she was hot AF. Hata niisikie leo siisahau, naikumbuka inavyonukia mpaka sasa.
 
The two tiny holes in every BIC pen ensure that the air pressure is the same both inside and outside the pen, which helps the ink flow to the tip......ila hizi BIC zimepotes sana, zilikuja speedo nazozikapotea
 
Japan is facing a ninja shortage. There is a high demand for “ninja shows,” but it is a dying tradition, and companies have trouble finding properly trained ninjas.......🤔 hii training hapa bongo nimekosa kazi kabisa inabidi nizamie Japan
 
In 1862, the King of Siam offered Abraham Lincoln many elephants on the grounds that a “Country as great as the United States should not be without elephants.” Lincoln politely declined.

Ingekua hapa kwetu zingepelekwa burigi
 
Back
Top Bottom