Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Mmmh wote hao 43?acha kupaka watu chupa kwa mgongo wa mafuta..JF ndio collection ya mi mama na mi dada iliyoshindikana uraiani, imeachika au misingo maza...age za wanawake JF ni 35 - 45. Kuliko na warembo ni Insta ambako unaona hadi picha na video zao...unamsifiaje mtu mzuri wakati ana ID fake, Avatar fake nk? Nimesharamba wanaJF almost 43, yoote ni mashangingi ila ina majina makubwa hapa...sio vizuri kuwaanika, ila wachache nitawasema:
Miss natafuta ni li tungunyema linaishi mbezi kazi yake kudanga mitandaoni, Nifal aliolewa na The bold, ana sura ila flat screen, Money penny lina watoto 3, Mamdenyi ni lialimu Arusha ndani ndani huko (usa river), emmyta ni lishangingi lipo buguruni pale sheli n.k.
Wengine hatumo bana kwenye hiyo idadi,,halaf umewaogopa umeona uje kwa id mpya ambao hawaijui si ndio
Ulijuaje kama ni mashagingi?
Usipende kuhukumu watu jiangalie kwanza wewe
Halaf kuwa na watoto ni dhambi mno eti si maamuzi ya mtu lo,,ndio maana mim kuonana na watu wa humu sitaki kabisa aisee,,mnaonana kwa nia njema kumbe mtu anakuchunguza ulivyo na kujiandaa kuja kusema jf
Cc Miss Natafuta emmyta Money Penny @Mamdenyi