Mkuu nipo nipo, huku huwa naja kwa kuibia si kama zamani...
Haswa huko ndipo atokapo mwandani wangu...
mi niko fully hapa..na mimi sasa nina mke hapa, anaitwa 'Valentina' ndiye ananifanya niwe hapa muda wote
mi niko fully hapa..na mimi sasa nina mke hapa, anaitwa 'Valentina' ndiye ananifanya niwe hapa muda wote
Lady doctor watoto hawajambo?Mwanyasi njoo kama ni wewe kama sio wewe usije.
duh mme wang naemjua mie!! Haya ngoja aje akukumbushe kama ndo alekupa maana..
mi niko fully hapa..na mimi sasa nina mke hapa, anaitwa 'Valentina' ndiye ananifanya niwe hapa muda wote
Hee mimi nijifiche wakati ukweli uko wazi.......!kajileta shost lakn kavunga ajdai hajaona.
Hili nalo lazima lipatiwe majibu ya kutosha with the aid of diagram ana vivid exampleskuvunga na nini? janeth1 si useme mtoto ni wa nan?
kwan uran kaoa? kumbe huyu ndo mzungu ulikuwa unamsema sikuzoteee........!?????!!!!!Duuh kupendwa raha,kupendwa ndo huku,kupendwa kuheshimiwa. U make me happy darling!
Hapa ukweli upo wazi kabisaaaa kuwa nilipotelewa na pafyumu chuoni...... Lady doctor alikuja mara 2 hostel akachukua desa la theology akaenda kusoma na ArushaoneSi ajabu anatunga utetezi,ngoja utamsikia
Ulimkafu gwamwitu......! Indi kwibhabha kwula ifitungulu vfya kwulisha ku tundumaAfu ulisema utamalizia mahari kwa tiGOpesa hadi leo kimya.. Hebu fanyafanya nina kiu ya ndovu.
Mbona hatujaletewa samansi..... na mgambo wa ccm?af shem wew na mme wang wote si mna kes?? Mkome kuhonga wake za watu.
Mimi ni mkweli daima, hivo siwezi kuukimbia ukweli..... Mimi ni muoga wa uongo tu.mme wangu navomjua mwoga sana kes anaweza asje tena huku.
Ha ha ha ha mimi ni zaidi ya tai au mweweHahaaa kumbe kunguru mwoga
Hivi siku ile wakati unachukua madesa kuna mtu alitufungia mlango ili watusingizie?uwezo wa kunifumania huna...... Nguvu za kunifumania huna....... Na nia ya kunifumania huna!!!!!!!
Mwaaaaaa my bby....
he hehehe unawapanga tu ka mazombie hayagutuki lol
heehee never on earth!!!
Lady doctor watoto hawajambo?
Hivi wanatumia pafyum gani?
Hivi amesema perfume?
Wewe Lady doctor ina maana ulikimbia na ile perfume tangu tuko chuo ilipotea semista ya 9 katika mazingira ya utata?
Au ni 'Valentina' alikupa maana nakumbuka chumbani kwangu ulikuja mara 2 kuchukua desa
We Mtoto halali na hela jumamosi tukunane pale aghakan tupime DNA (banjuka tu .....) za huyo mtoto na mke wangu janeth! huwa sipendi nadharia mimi, na ukisingizia mabwepande itakuhusu.
Hee mimi nijifiche wakati ukweli uko wazi.......!
Hili nalo lazima lipatiwe majibu ya kutosha with the aid of diagram ana vivid examples
kwan uran kaoa? kumbe huyu ndo mzungu ulikuwa unamsema sikuzoteee........!?????!!!!!
Mpaka siku zile ukasema mnaenda UK?
Hapa ukweli upo wazi kabisaaaa kuwa nilipotelewa na pafyumu chuoni...... Lady doctor alikuja mara 2 hostel akachukua desa la theology akaenda kusoma na Arushaone
Ulimkafu gwamwitu......! Indi kwibhabha kwula ifitungulu vfya kwulisha ku tunduma
Mbona hatujaletewa samansi..... na mgambo wa ccm?
Mimi ni mkweli daima, hivo siwezi kuukimbia ukweli..... Mimi ni muoga wa uongo tu.
Ha ha ha ha mimi ni zaidi ya tai au mwewe
Hivi siku ile wakati unachukua madesa kuna mtu alitufungia mlango ili watusingizie?
Sikumbiki vizuri kilichoendelea pale.
Hiyo kiss mpaka majirani tumesikia "mwaaaaaaa.......!"
Hivi amesema perfume?
Wewe Lady doctor ina maana ulikimbia na ile perfume tangu tuko chuo ilipotea semista ya 9 katika mazingira ya utata?
Au ni 'Valentina' alikupa maana nakumbuka chumbani kwangu ulikuja mara 2 kuchukua desa