Hee mimi nijifiche wakati ukweli uko wazi.......!
Hili nalo lazima lipatiwe majibu ya kutosha with the aid of diagram ana vivid examples
kwan
uran kaoa? kumbe huyu ndo mzungu ulikuwa unamsema sikuzoteee........!?????!!!!!
Mpaka siku zile ukasema mnaenda UK?
Hapa ukweli upo wazi kabisaaaa kuwa nilipotelewa na pafyumu chuoni......
Lady doctor alikuja mara 2 hostel akachukua desa la theology akaenda kusoma na
Arushaone
Ulimkafu gwamwitu......! Indi kwibhabha kwula ifitungulu vfya kwulisha ku tunduma
Mbona hatujaletewa samansi..... na mgambo wa ccm?
Mimi ni mkweli daima, hivo siwezi kuukimbia ukweli..... Mimi ni muoga wa uongo tu.
Ha ha ha ha mimi ni zaidi ya tai au mwewe
Hivi siku ile wakati unachukua madesa kuna mtu alitufungia mlango ili watusingizie?
Sikumbiki vizuri kilichoendelea pale.