Hii kitu ni fake! Nikiamua kumpigia kura WOS kwa sababu zangu kutumia multiple IDs zote ninazomiliki atashinda kwa Kishindo, Kikwete huita ushindi wa Sunami
naunga mkono hoja mkuu!mbona mie simo kwelye list naenda mahakamani kupinga uchaguzi huu sio huru na wa haki ngoja niwasiliane na Mch. Mtikila anipe mwongozo
kwani tunaangalia nini kumpigia mtu kura sijaelewa bado
WAPENDWA
Naombeni mniondoe kwenye mchakato huu kwa sababu zifuatazo:
1. 2009 Nilibahatika kushirikishwa na nikawa "mshindi" - nawashukuruni wale wote walionipa heshima hii
2. 2010 - apatikane mwingine tena. JF tunapigania ushirikishwaji mpana wa watu wengi kwenye fursa mbalimbali.Kwangu mimi tayari ninazo fursa nyingi nje ya hapa na hivyo basi ningefurahi kuachia wenzangu wengine nao washiriki.
Asanteni kwa uelewa.
Asanteni
wewe huna kazi zingine za kufanya?
Huu uchaguzi si wa haki hata kidogo. Kwanza kura inatakiwa ziwe za siri. Hizi ni za wazi. Halafu inakuwaje Sanctus Mtsimbe na Superman wote wapige kura wakati hawana tofauti?
Tatu kura ni siri na hakuna anayejua kura ya mwenzake.
Huo usiri wa kura uko wapi bana?
WAPENDWA
Naombeni mniondoe kwenye mchakato huu kwa sababu zifuatazo:
1. 2009 Nilibahatika kushirikishwa na nikawa "mshindi" - nawashukuruni wale wote walionipa heshima hii
2. 2010 - apatikane mwingine tena. JF tunapigania ushirikishwaji mpana wa watu wengi kwenye fursa mbalimbali.Kwangu mimi tayari ninazo fursa nyingi nje ya hapa na hivyo basi ningefurahi kuachia wenzangu wengine nao washiriki.
Asanteni kwa uelewa.
Asanteni
NN wewe ni member wa siku nyingi na una privellege ya kujua jinsi ya kutumia vema jukwaa. Bahati mbaya si kila mtu akajua.
Hata hivyo kwa kujua huko kama hautaweza kutumia vema kwa maana ya kujenga bali kubomoa basi utakuwa hutendi haki.
Pamoja na hayo zoezi linaendelea.
Mwishoni jibu malalamiko ya pingamizi ulilowekewa umekuwa ukiyakwepa. LOL
Bado unabisha kuwa kura si za siri?
unafaa!niwekeni mimi basi
Superman, JEC iangalie uwezekano wa kupata jina jingine la kuziba nafasi ya Mwanakijiji, namaanisha yale yaliyopigiwa kura na akawa na kura nyingi!Fuatilia thread mbili zilizotajwa katika main post hapo juu.
Kaazi kwelikweli!
naunga mkono hoja mkuu!
ndugu m/kiti wa tume nilimaanisha kusema hivii....pengine watu wanaogopa kupiga kura kwa kuwa hakuna usiri....Nightangale; hii ni Public Poll.
Mr/Mrs Mwenyekiti? Not clear . .