JF Woman and Man of The Year 2010: Mchakato Wa Kuwapata

Ni Nani Anafaa Kuwa "JF Man of the Year 2010"?

  • Acid

    Votes: 23 40.4%
  • Kiranga

    Votes: 12 21.1%
  • Nyani Ngabu

    Votes: 22 38.6%

  • Total voters
    57
  • Poll closed .
Hii kitu ni fake! Nikiamua kumpigia kura WOS kwa sababu zangu kutumia multiple IDs zote ninazomiliki atashinda kwa Kishindo, Kikwete huita ushindi wa Sunami

Kazi kweli kweli.

Mkuu angalia mods wasijegundua una multiple IDS. Hata hivyo JEC inaangalia ID tu na si personalies. Tumia haki yako ku-vote.
 
kwani tunaangalia nini kumpigia mtu kura sijaelewa bado
 
WAPENDWA
Naombeni mniondoe kwenye mchakato huu kwa sababu zifuatazo:
1. 2009 Nilibahatika kushirikishwa na nikawa "mshindi" - nawashukuruni wale wote walionipa heshima hii
2. 2010 - apatikane mwingine tena. JF tunapigania ushirikishwaji mpana wa watu wengi kwenye fursa mbalimbali.Kwangu mimi tayari ninazo fursa nyingi nje ya hapa na hivyo basi ningefurahi kuachia wenzangu wengine nao washiriki.
Asanteni kwa uelewa.

Asanteni
 
Mbona unaongea kana kwamba utashinda ilhali anayeongoza ni Gaijin?
 
Huu uchaguzi si wa haki hata kidogo. Kwanza kura inatakiwa ziwe za siri. Hizi ni za wazi. Halafu inakuwaje Sanctus Mtsimbe na Superman wote wapige kura wakati hawana tofauti?

watu wengi tu hatujapiga kura bado kwa sababu kura ni za wazi kila mtu anaona ....kura gani za hivi jamani? kama hapo inaonyesha kabisa huyu kampigia fulani sio fresh
 
Huo usiri wa kura uko wapi bana?

NN wewe ni member wa siku nyingi na una privellege ya kujua jinsi ya kutumia vema jukwaa. Bahati mbaya si kila mtu akajua.

Hata hivyo kwa kujua huko kama hautaweza kutumia vema kwa maana ya kujenga bali kubomoa basi utakuwa hutendi haki.

Pamoja na hayo zoezi linaendelea.

Mwishoni jibu malalamiko ya pingamizi ulilowekewa umekuwa ukiyakwepa. LOL
 
WAPENDWA
Naombeni mniondoe kwenye mchakato huu kwa sababu zifuatazo:
1. 2009 Nilibahatika kushirikishwa na nikawa "mshindi" - nawashukuruni wale wote walionipa heshima hii
2. 2010 - apatikane mwingine tena. JF tunapigania ushirikishwaji mpana wa watu wengi kwenye fursa mbalimbali.Kwangu mimi tayari ninazo fursa nyingi nje ya hapa na hivyo basi ningefurahi kuachia wenzangu wengine nao washiriki.
Asanteni kwa uelewa.

Asanteni

WoS;

JEC imepokea ombi lako. Litafanyiwa kazi sawasawa na sheria za uchaguzi.
 
NN wewe ni member wa siku nyingi na una privellege ya kujua jinsi ya kutumia vema jukwaa. Bahati mbaya si kila mtu akajua.

Hata hivyo kwa kujua huko kama hautaweza kutumia vema kwa maana ya kujenga bali kubomoa basi utakuwa hutendi haki.

Pamoja na hayo zoezi linaendelea.

Mwishoni jibu malalamiko ya pingamizi ulilowekewa umekuwa ukiyakwepa. LOL

Bado unabisha kuwa kura si za siri?
 
Bado unabisha kuwa kura si za siri?

Umeshinda kwa hilo. Lakini message umeshaipata.

Sasa jibu malalamiko ya TENMO ambayo ni hoja nzito kufuatana na JEC. Noana bado unakwepa hoja. Mwisho wa siku tatu ulizopewa zinaishia leo saa 6 usiku EA time. LOL.
 
Fuatilia thread mbili zilizotajwa katika main post hapo juu.
Superman, JEC iangalie uwezekano wa kupata jina jingine la kuziba nafasi ya Mwanakijiji, namaanisha yale yaliyopigiwa kura na akawa na kura nyingi!
 
Back
Top Bottom