Jiajiri kwenye hii biashara hata kama huna mtaji

Ni wazo zuri ila litafanikiwa kama tu hayo makubaliano yatafanywa kisheira (mikataba), hii itaondoa uwezekano wa hao mafundi kuleta unoko na hiyana pale ambapo watahisi unanufaika sana kuliko was (unawanyonya)

Kawaida ya mbogo atakukubalia wakati wa kuanza project, utahangaika kutengeneza platform kwa zaidi ya hata miaka kadhaa ila wakati ambapo utaanza kuviona mafao lazima wakuletee nongwa za kuona kama unanufaika bure kupitia kwako.Kuepusha hilo,ni lazima uhakikishe unawafungisha mikataba yenye kuwabana haswa.

Sambamba na hilo wazo kama mtaji ukikua,si vibaya kufungwa hata kiwanda cha kufyatua mayofali ya block, na kufungua hardware za vifaa cya ujenzi ili hela isipotee kwenye circle kwenda kwingine.
 
Sijui mm ni mzito kuelewa, yaan nmetoka kapa hapa.
Mmmh hapa umefika kapa? Sitaki kuhoji kwanini umejiita Mr.Genius.

Hii idea ni nzuri sana, sema inahitwji uwe na ujuzi wa kila unchotaka kufanya.Kwamfano hapa hii project itawafaa sana civil engineers au mafundi wenye mitaji, kwasababu ukijiingiza kwenye hii biashara ya ujenzi bila uelewa itakuwa rahisi sana kuzingukwa na hao mafundi kwenye hizo kazi(hasa kwenye tasmini ya kazi)

Kwahiyo si lazima iwe ni ujenzi,unaweza kuwekeza sehem nyingine kwa huuhuu mfumo aliuelezea mleta mada.
 
Ukiachana na ujenzi je unahisi ni sekta gani unaweza tumia huu mfumo ukapata manufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…