Jiajiri mwenyewe kwa kufanya kazi ya ‘kubadilisha upepo’ wa matukio mbalimbali, niamini lazima utoboe!

Unafundisha watu uchawa
 
Kama anavyofanya baba levo au kuna maana tofauti?
 
Kuhusu risky unatoa ushauri gani, maana kuna vitu unaweza kutetea hasira za wananchi zikakujia juu
 
Kuhusu risky unatoa ushauri gani, maana kuna vitu unaweza kutetea hasira za wananchi zikakujia juu
🤣🤣🤣 u have to be smart mkuu hakuna kazi isiyo na risk. Mimi nimekufundisha ujanja wa kupiga swala, lakini kunyata lazima unyate mwenyewe.
 
Mtibeli great thinker wa JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…