Jiandae mabadiliko makubwa sana ya kiuchumi yanakuja duniani kati ya sasa na kuendelea

Jiandae mabadiliko makubwa sana ya kiuchumi yanakuja duniani kati ya sasa na kuendelea

Vinaweza kutokea vichache kati ya hivyo, ila hakutakuwa na major overhaul ya mfumo mzima wa maisha duniani.

Major overhaul itatokea siku sote ambao tuko hai now hata alozaliwa jana tutakapokuwa tumeshakufa na kupotea kwenye uso wa dunia hii.
 
Kwanza kabisa niseme kuwa hayo niliyoandika hapo chini ni summary kwa mujibu wa yale ambayo Mungu anawaonyesha watu wake katika ulimwengu wa roho na kwa hiyo sifa heshima utukufu arudishiwe Mungu na si mwanadamu awaye yeyote yule. Ni upendo mkubwa sana wa Mungu kuwa hutujulisha wanadamu yale yajayo na mara nyingi sana Mungu hutaka watu tutubu na kumrudia yeye baada ya kuwa wanadamu tumefanya uasi kwa Mungu. Kingine niseme inawezekana kabisa baadhi yasitokea kwenye timeline niliyoandika au hata yasitokee kabisa na bado Mungu atabaki kuwa Mungu na sifa shukrani ni za kwake. Yatakapotokea hakika sifa, shukrani na utukufu arudishiwe Mungu na si mwanadamu yeyote yule.

Ndugu mwanajamii Forums napenda sana kutoa tahadhari juu ya mabadiliko makubwa sana yanayokuja duniani na ambayo kwa kiasi fulani yameanza kutokea kwa baadhi ya sehemu kadhaa duniani.

Ipo hivi historia ya dunia inaonyesha kuwa dunia imekuwa ikipitia mabadiliko kadha wa kadha ya kiuchumi tokea ilivyoumbwa mpaka hivi leo. Kwa mfano miaka michache sana iliyopita dunia ilikumbwa na ugonjwa wa covid-19 ambao ulileta mabadiliko kadha wa kadha kwenye mifumo ya Uchumi. Kwa mfano ni kwa mara ya kwanza wafanyakazi wengi sana dunia nzima walifanyia kazi nyumbani kwa njia ya mtandao badala ya Kwenda kufanyia kazi maofisini. Ni kwa mara ya kwanza huduma za kudeliver bidhaa na huduma zilikua kwa kasi sana.

Pasipo kupoteza muda baadhi ya mabadiliko hayo ni hayo hapo chini. Ninachotamani ni watu tumuombe sana Mungu atupe kujiandaa.
  1. Uchumi wa marekani utaanguka vibaya sana kati ya November 2026 na December 2027 na hii itapelekea mgogoro mkubwa sana wa kiuchumi duniani. Anguko hili la kiuchumi ni anguko baya sana ambalo halijawahi kutokea toka US iwepo. Kwa wale mnaofanya kazi kwenye mashirika ya misaada yanayotegemea fedha za wafadhili kutokea Ulaya na marekani au nchi nyingine mjipange mapema maana very soon kazi nyingi sana zinaenda kupotea mazima na hazitorudi tena maana kutatokea ukosefu mkubwa sana wa fedha duniani. Marekani haitokuwa tena na nguvu ile iliyo nayo sasa na ndiyo itakuwa imesiha hiyo kwa msemo wa watu wa mjini.
  2. Matumiz ya fedha zilizopo sasa yaani hizi sarafu na noti tunazotumia sasa yatapungua sana na very soon yatakoma kabisa na hii itakuwa ni baada ya US, Ulaya na hatimaye Uchumi wa nchi nyingi kuanguka kiuchumi.
  3. Matumizi ya fedha za kidigitali yatashika kasi kubwa sana dunia nzima Tanzania ikiwemo.
  4. Ugonjwa ambao ni mbaya kuliko uviko yaani covid-19 utaipata dunia kati ya December 2026-May June 2028.
  5. Matumizi ya AI yataongezeka sana yatapelekea watu wengi sana duniani kukosa kazi
  6. Mataifa kwa sasa yanapangwa upya ili kutimza unabii ndiyo maana unaona Tanzania ikiwa karibu na Urusi, China karibu na North Korea, Marekani karibu na Venezuela, canada, Mexico, Cuba.
  7. Ukomunisti utashika kasi sana na utakuwa na nguvu sana miaka michache sana ijayo. Ubepari utapungua nguvu sana.
  8. Shambulio baya sana litakaloongozwa na Iran, Turkey, litaipata Israel ambapo wataitumia Syria kutekeleza shambulio hilo la silaha za kibaolojia na Israel itaikung’uta vibaya sana Syria nah ii italeta vita kati ya Israel na mataifa mengi sana.
  9. Uamsho mkubwa sana yaani watu mamilioni kwa mamilioni kutubu na kumrudia Mungu utatokea.
  10. Zelenskay atashindwa vita na Urusi itashinda vita na kiongozi ambaye ni Pro-Russia atakuwa kiongozi mpya wa Russia na ifact Zelensky atauwawa.
  11. Netanyau atauwawa
  12. Wanaomuombea Trump wasipozidi kumuombea naye atauwawa ambapo wahusika wakuu watakuwa ni Russia, France na wengine.
  13. Dola, Euro zitaanguka na kuwa digital
  14. Chakula kitapungua sana duniani na hivyo kutatokea baa la njaa.
  15. Thamani ya hisa za makampuni mengi sana duniani (Tanaznia ikiwemo )zitaanguka vibaya sanana kupelekea watu wengi wakiwemo wanaosma bandiko hili kupoteza pesa zao.
  16. Thamani ya baadhi ya asset za kidigital (assets ambazo zitahitajika sana kwenye mfumo mpya wa fedha unaokuja duniani i.e. BTC, cardano xrp, xlm, xdc, etherium, solana, algorand zitapanda sana thamani kwa muda fulani hasa kuanzia mwezi wa saba mwaka huu. na decamillionares kadhaa wataibuka. Asset hizi bei zake hazitakuwa tena za chini kama ilivyo sasa na watu wengi sana watasema laiti ningejua ningewekeza ila itakuwa wameshachelewa.
  17. Thamani ya asset nyingi sana za kidigital hasa meme coins na nyinginezo itaanguka sana na watu wengi sana watapoteza fedha zao maana asset hizi hazina kuhitajika kwenye mfumo mpya wa fedha unaokuja duniani.
  18. Benki kadhaa nyingi duniani zitakufa na ii itaplekea watu wengi sana kupoteza fedha zao.
  19. Wayahudi watachukiwa sana duniani na hii itapelekea wayahudi wengi sana kurudi Israel
  20. Mamilioni ya watu watakosa kazi
  21. Mifuko mingi sana ya pensheni duniani itacollapse na hivyo kushindwa kulipa stahiki za watu kwa wakati
  22. China itavamia Taiwani na US haitofanikiwa kuwasaidia Taiwani, na hata Japan, South Korea zitavamiwa na China siku zijazo na US haitokuwa na ubavu wa kuizuia China.
  23. ....loading
Nitoe angalizo uzi huu si kwa ajili ya ushauri wa masuala ya kifedha/uwekezaji/matumizi/ubashiri/unabii/uwekaji akiba n.k Tafadhali kabla ya kuchukua maamuzi yoyote yale baada ya kusoma uzi huu muombe sana Mungu awe ndiyo kiongozi wako maana imeandikwa amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu. Vilevile tafuta taarifa sahihi zitakazokusaidia kufikia kufanya maamuzi sahihi ya kujianda na yale yajayo. Ahsante

Nitandelea….
December sio mbali kwa hiyo #1 tutagundua uongo wako. Nabii nyingi ni za uongo au mambo yajayo miaka mingi sana kutoka sasa.
 
Back
Top Bottom