Fabolous
JF-Expert Member
- Sep 23, 2010
- 2,993
- 3,747
Ndio maana Mdee Ali weka vi emoji vya kucheka kule X.Bado wanaota kurejea wanakaa vikao mara kwa mara kujadili jinsi ya kuwavuruga uongozi mpya, pia wamebuni mbinu ya kula pesa za wale wote wasioupenda uongozi mpya, waebubini mradi wa kula pesa kwa visingizio vya kuudhofisha uongozi mpya