Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Na walipomuuliza aliwajibu nini? Mimi binafsi naamini kuwa Mbowe anajua sababu ( after the fact) zilizowaanya Halima na wenzake wafanye walichofanya. Na ana sympathise nao. Na nina amini kuwa hakuziweka hadharani kwa sababu alijua zikitoka zitawaharibia sana wakina Halima. Naamini pia kuna uwezekano kuwa baada ya uchaguzi wa mwaka huu kupita wakina Halima wataeleza kwa nini walifanya walichofanya.Hata CCM na hao Covid 19 walikuwa wanashangaa kwa nini, rufaa ya kina Mdee haisikilizwi badala yake Mbowe na wanachadema wanalalamika kuhusu spika kuendelea kuwatambua.
Wenyewe chadema hawataki kusikiliza rufaa ila wanalalamika kuhusu spika.
Kuhusu Mbowe kuhusika na hao Covid 19 kuwepo bungeni, Mdee alishasema kitambo sana, "muulizeni mwenyekiti"
CDM sio wajinga. Walijua mpango mzima ni kuhakikisha wakina Halima wanaendelea kuwepo Bungeni mpaka uchaguzi unaofuata. Kuendelea kujishughulisha na ile kesi ingekuwa upotezaji wa resources adimu walizokuwa nazo.
Amandla...