Bado wanaota kurejea wanakaa vikao mara kwa mara kujadili jinsi ya kuwavuruga uongozi mpya, pia wamebuni mbinu ya kula pesa za wale wote wasioupenda uongozi mpya, waebubini mradi wa kula pesa kwa visingizio vya kuudhofisha uongozi mpya
Stupid as stupid does. Kama wewe ndio aina ya washauri/wafuasi wa team Lissu basi "God have mercy on CDM". Umeongea uongo, upupu, uzandik, upotoshaji, fitna zilizojaa chuki kwa watu ambao bila shaka hauwajui. Mtu wenu ameshinda na ndie Mwenyekiti. Msaidieni kukipanga chama chenu ili kikue zaidi na kiweze kushika dola na kuleta mabadiliko ambayo wengi wanayatamani. Hamuwezi kufanya hivyo kama concentration yenu ni kulipa visasi dhidi ya watu mnao wahitaji.