Jicho la Mwewe: Kufukuzwa kazi kwa Balozi Mulamula ni matokeo ya ziara za Rais nchi za nje

Jicho la Mwewe: Kufukuzwa kazi kwa Balozi Mulamula ni matokeo ya ziara za Rais nchi za nje

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,589
Reaction score
35,268
Rais amekuwa akisafiri kwenda nchi za nje almost non stop tangu aingie madarakani kwa connection, mafanikio ya safari hizo kuanzia mapokezi, malengo n.k yalitegemea tu namna Waziri wa Mambo ya Nje alivyoyaandaa akiwa bega kwa bega na wenyeji wa nchi husika. Mapokezi mabovu na kuonekana kama Rais anazurura ni matokeo hafifu ya utendaji kazi wa Waziri huyo.

Imagine unaenda nchi za watu kama Rais wa taifa fulani halafu wanazengo wa kule kuanzia mkuu wao wa nchi mpaka raia wa kawaida hata hawahisi kama kuna ugeni fulani. Kuna wakati msafara wako unakuwa cornerd kwenye traffic jam kama raia wa kawaida.

Wakati mwingine viongozi wa nchi husika wanashangazwa na ujio wa kiongozi huyu wa bongo, kanakwamba hakukuwa na taarifa ya kueleweka kuhusu ujio wa huyu kiongozi.

Anyway mambo ni mengi muda ni mchache.
 
Acha Ujinga ...Rais Xi kamaliza miaka Miwili unusu bila kutoka nje ya China mpaka hii juzi....
Hee ni wewe uliyeandika hivi, Sasa Rais Xi anafanana na rais wa bongo? Rais Xi anahitaji nini kwani nje ya nchi?

Sasa nyinyi wabongo mnazalisha nini mpaka muwe na kiburi cha kujifungia ndani? au unataka turudi enzi za mwendazake tuanze kupaka girisi maisha
 
Rais amekuwa akisafr kwenda nchi za nje almost non stop tangu aingie madarakani kwa connection, mafanikio ya safari hizo kuanzia mapokezi ...
Umeongea as if those scenarios have been witnessed and documented somewhere! Tupe mifano. You might have a good point but an assumption
 
Hee ni wewe uliyeandika hivi, Sasa Rais Xi anafanana na rais wa bongo? Rais Xi anahitaji nini kwani nje ya nchi? Sasa nyinyi wabongo mnazalisha nini mpaka muwe na kiburi cha kujifungia ndani? au unataka turudi enzi za mwendazake tuanze kupaka girisi maisha
wabongo kwa kujitutumua hatujambo....sisi ni donor kantiri
 
Rais amekuwa akisafr kwenda nchi za nje almost non stop tangu aingie madarakani kwa connection, mafanikio ya safari hizo kuanzia mapokezi...
Amuondoe asimuondoe, yote ni uzembe wake tu! Alimtoa wapi hadi kwenye uwaziri? Ni uzembe na kiburi cha viongozi wetu kuweka urafiki mbele badala ya taarifa rasmi za uaminifu wa watu. Hata hao aliowarudisha, akina Anjela, wana nini cha ziada zaidi ya urafiki wa tangu vyuoni na wahuni wa ikulu?

Huyu mama alishawekwa pembeni na Magufuli, kwa kiwewe cha kuamini mambo kinyume na Magufuli ndo hitaji la 'wananchi' mashabiki wake akamzoa alikokuwa. Sisi tukijua siyo m-TZ, siyo leadership material. Alipoachishwa ubalozi alikuwa bize kupata uraia wa US, yeye akaona huo ni mtaji wa kuwa waziri! Hapa kwenyewe anajiita muhaya! Muhaya wa jina la Mulamula.

Utendaji wa huyo m-TZ bandia ulikuwa hovyo tu! Hajitambui hata kuzungumza shida!!! Sasa anajidai kumuondoa kwa sifa gani kwa wananchi?
Tuendelee kujaribia kila mtu hata vichaa waje tu!
 
Amuondoe asimuondoe, yote ni uzembe wake tu! Alimtoa wapi hadi kwenye uwaziri? Ni uzembe na kiburi cha viongozi wetu kuweka urafiki mbele badala ya taarifa rasmi za uaminifu wa watu. Hata hao aliowarudisha, akina Anjela, wana nini cha ziada zaidi ya urafiki wa tangu vyuoni na wahuni wa ikulu?

Huyu mama alishawekwa pembeni na Magufuli, kwa kiwewe cha kuamini mambo kinyume na Magufuli ndo hitaji la 'wananchi' mashabiki wake akamzoa alikokuwa. Sisi tukijua siyo m-TZ, siyo leadership material. Alipoachishwa ubalozi alikuwa bize kupata uraia wa US, yeye akaona huo ni mtaji wa kuwa waziri! Hapa kwenyewe anajiita muhaya! Muhaya wa jina la Mulamula.

Utendaji wa huyo m-TZ bandia ulikuwa hovyo tu! Hajitambui hata kuzungumza shida!!! Sasa anajidai kumuondoa kwa sifa gani kwa wananchi? Tuendelee kujaribia kila mtu hata vichaa waje tu!
Ngoja ni like ili niwaze tena. Nita ignore kesho, halafu naacha kuwaza
 
Wafuatao watapanda basi

FB_IMG_1664610593409.jpg
 
Back
Top Bottom