Ntambirweki again
JF-Expert Member
- Feb 25, 2022
- 213
- 191
Mtimdo wa mama kuongoza nimeupenda sana, anasema kauli mpaka vichwa vya watu viume siyo Ile unaweka bayana na kuikosesha uchimbuzi. Lakini alivomtoa Chalamila yalizungimzwa hayahaya kuwa anaondoa walikuwa watu wa mjomba lakini kamrudisha sijaona masahihisho. Kikubwa tujue kumteua na kumtoa mtu katika nafasi fulani ni mapenzi ya mteuaji wengine tunaumiza vichwa bure.Umeshasema 'kuvuka mipaka ya kazi' tayari hilo ni kosa la kimaadili.