Jicho la Mwewe: Kufukuzwa kazi kwa Balozi Mulamula ni matokeo ya ziara za Rais nchi za nje

Hakuna lolote ni udini unamsumbua tu
 
Ngoja ni like ili niwaze tena. Nita ignore kesho, halafu naacha kuwaza
Kwenye hayo mawazo ongezea barua hii ya tangu enzi ya Maguufuli way back in 2021! Halafu jiulize huyu tunayesema ni rais mfungua nchi, kwa nini hakujiuliza kulikoni? 👇👇👇👇
 
Yupo busy kutafuna fedha za nchi
 
Kwenye hayo mawazo ongezea barua hii ya tangu enzi ya Maguufuli way back in 2021! Halafu jiulize huyu tunayesema ni rais mfungua nchi, kwa nini hakujiuliza kulikoni? 👇👇👇👇
View attachment 2375906

Nani alikataa 'kuwatuma' hawa waTanzania wawili kufanya kazi za AU / African Union/Umoja w Afrika
 
Nani alikataa 'kuwatuma' hawa waTanzania wawili kufanya kazi za AU / African Union/Umoja w Afrika
Siyo kuwatuma ni mtindo wa employment/hiring wa UN/AU/etc bodies. Kwa ufupi nchi lazima ikuunge mkono unapotaka kupata nafasi za juu kiasi hicho. TZ ilisema haiwaungi mkono kwa positions hizo, na Au ikatangaza kuwaondoa kwenye kinyanyanyilo. Ukiona hivyo, ni ishara nchi ilishaona kasoro ya utendaji wao. Nini kilimfanya Samia kumleta kuwa waziri, hiyo ndo shida anayoitatua kwa hotuba leo hii.
 
Huu ni uongo na uzushi
 
Kwa hiyo kwenda kuhemea kwa Mabeberu ni sifa??
 
Nyie mnadhani huku watu wanapoteza muda kama vinchi vya ulimwengu wa tatu?

Yaani mlitaka Mulamula ashike mabango mtaani alipe buku 7 watu waanze kuzurura hovyo hovyo mtaano na mikelele eti mama anaupiga mwingi?

Yani zipo sheria zihusuzo noise pollution sasa ulete ushamba wako eti unapiga kelele hovyo.

Au mlitarajia msiba wa malkia kuwepo na drama za kitanzania mara huyu kazimia huyu kajigaragaza red cross waje? Think again.

Kiufupi watu hawana muda wala kuhitaji kujua kuhusu kiongozi wa Africa na nina rafiki zangu wengi hujua Africa ni nchi na wanaojua ni bara wanajua nchi chache tu .
 
Kwahiyo mapokeo ya sasa yatakuaje
 
Hapa kwenyewe anajiita muhaya! Muhaya wa jina la Mulamula.
Ni kweli ni muhaya. Baba yake alikuwa akiitwa Kaijage, alikuwa DDD wa Dodoma miaka hiyo.

Huyo Mulamula labda atakuwa mumewe.
 
Sasa sisi wabongo tusiosafiri nje ya nchi tumekufa? Ni ujinga na kujiendekeza kwamba kusafiri nje ya nchi kuna maana yoyote. Magufuli hakusafiri nje ya nchi na naweza kukwambia kwamba thamani ya uongozi wake nje na ndani ni mara dufu kuliko haya yanayojitembeza tembeza.
 
Umesahau mkuu hela ilipotea mifukoni sasa alhamdullah buku 7 yako unaipata kwa wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…