Sawa, NduguEndeleeni kuamini chai za Russia..hawana maajabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa, NduguEndeleeni kuamini chai za Russia..hawana maajabu
Kwani Ukraine unaichukuliaje mkuu? Unadhani Ukraine ni kama Somalia au Yemen?Urusi nilikua namwamini sana ila tokea vita ya Ukraine nimemuona maneno mengi tu kama Ali Sahafu...yaani asumbuke na Ukraine mwezi wa nane atishie Dunia sio kweli...
Kunielewa inatakiwa uwe makini sana mkuu sio unasoma tuu na kujibu...Ukraine ndio Nchi inayoaminiwa na UN kwenye mission zake za kijeshi kama huko DRC na kwingineko wanajua sana vita ya guerilla hao jamaa wakiwa na siraha ni hatari kuliko unavyodhania...kwao pana vita wengine wapo DRC na bado Urusi anasumbuka huko...Kwani Ukraine unaichukuliaje mkuu? Unadhani Ukraine ni kama Somalia au Yemen?
Hebu ingia google uangalie GDP ya Ukraine kabla ya vita alafu urudi hapa tujadili. Pia uangalie marekani amepambana kwa muda gani Afghanistan, na alitumia muda gani Vietnam.
Kuna vitu mnaviongea kishabiki tu bila kujua undani wake.
Haijawahi kutokea hivyo inabaki kuwa maneno ya binadamu wanasiasa.Mkuu, unafahamu kitu kinaitwa "dead hand"?
Vita ya nyuklia haina kuwahiana. Hao wakubwa walilijua hilo siku nyingi sana. Wakatengeneza systems zinazoweza kufanya retaliation hata kama watu wote wamekufa.
Yani ukipiga bomu ukaua watu wote Urusi, wala hautabaki salama. Walishatengeneza system ambayo inaweza kutambua shambulizi limetokea wapi, na yenyewe ikajibu kwa mashambulizi mazito zaidi.
Putin alisema "You won't even get the time to repent". Yani ukiishambulia Urusi kwa nyuklia, hautapata hata muda wa kusali sala ya toba. Itakushukia mvua ya makombora mpaka shetani abaki anashangaa "mbona ghafla sana jamani".
Hata hao marekani pia wanayo system yao. Hiyo habari ya kuwahiana labda itokee kwa Uganda na Rwanda. Sio hao mabeberu!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Putin anaomba msaada kwa vijana wote wakapigane ila huku wakalia mabenchi wana siraha zote na ma bush master yote washamkabidhi Putin wakidhani Vita na kama gemu za kwenye Video..
Ukraine au UN? A.K.A "NATO"? mahaba yanatesa sana Watu kuwa mazezeta badala ya kukubali uhalisia [emoji28]Urusi nilikua namwamini sana ila tokea vita ya Ukraine nimemuona maneno mengi tu kama Ali Sahafu...yaani asumbuke na Ukraine mwezi wa nane atishie Dunia sio kweli...
Vita ya Ukraine na Russia wala sio kipimo! Na kama kwako ni kipimo basi tumia kipimo hichohicho kwa US na Taliban pale Afrganistan!Urusi nilikua namwamini sana ila tokea vita ya Ukraine nimemuona maneno mengi tu kama Ali Sahafu...yaani asumbuke na Ukraine mwezi wa nane atishie Dunia sio kweli...
Msijidanganye ,siku silaha za nyukria zikifyatuliwa na hao wakoloni wa maju ,,,dunia nzima itaathika pakubwa ,,tena nchi zaafrika zinaweza kuwa kwenye hali ngumu na mbaya kuliko unavyo fikiri.Acha watumie tuuu I think Africa tupo safe nacho taka kuona ni Washington ipo kama mbagala
HakikaMkuu, unafahamu kitu kinaitwa "dead hand"?
Vita ya nyuklia haina kuwahiana. Hao wakubwa walilijua hilo siku nyingi sana. Wakatengeneza systems zinazoweza kufanya retaliation hata kama watu wote wamekufa.
Yani ukipiga bomu ukaua watu wote Urusi, wala hautabaki salama. Walishatengeneza system ambayo inaweza kutambua shambulizi limetokea wapi, na yenyewe ikajibu kwa mashambulizi mazito zaidi.
Putin alisema "You won't even get the time to repent". Yani ukiishambulia Urusi kwa nyuklia, hautapata hata muda wa kusali sala ya toba. Itakushukia mvua ya makombora mpaka shetani abaki anashangaa "mbona ghafla sana jamani".
Hata hao marekani pia wanayo system yao. Hiyo habari ya kuwahiana labda itokee kwa Uganda na Rwanda. Sio hao mabeberu!
Bashaelewa mkuu umemaliza kila kituPutin alisema "You won't even get the time to repent". Yani ukiishambulia Urusi kwa nyuklia, hautapata hata muda wa kusali sala ya toba. Itakushukia mvua ya makombora mpaka shetani abaki anashangaa "mbona ghafla sana jamani".
Back to sendersHata hizo nuclear zao zitateguka na kupiga baharini
Putin yupo hai na bado yupo madarakani. Zile makala zako za kipuuzi hazina maana tena, aibu kubwa... hahahaahahSure.
Hazitalenga USA Kwan Russian hawako makiniBack to senders
Unaongea nini? Hueleweki mkuu
Bado haujaeleweka hivi unaelewa unachokiandika lakini au ushazimua gomba?Hazitalenga USA Kwan Russian hawako makini
Mmarekan anampasua kila mtu atakavyo?Unafikiri yangekua hayaogopeshi wamarekani wangekua hawajamvamia mpaka leo? Kama silaha zake hazina kitu marekani angekua anahangaika kila siku kutumia pesa nyingi kuweka military bases kumzunguka Urusi?
Mnafikiri marekani ni wajinga kutokupambana na Urusi mpaka leo?
Hakutaka kupiga kama [emoji631] anavyoshambulia mpaka watoto wa shule na mahospitali kama alivyofanya katika sehemu nyingi dunianiUrusi nilikua namwamini sana ila tokea vita ya Ukraine nimemuona maneno mengi tu kama Ali Sahafu...yaani asumbuke na Ukraine mwezi wa nane atishie Dunia sio kweli...
Maliza ugoro huo ulale maana hujui unachokiandikaMmarekan anampasua kila mtu atakavyo?
Kiuchumi na kijeshi... Russia ameshauvagaa atapigwa na anapigwa kiuchumi mpaka anyooke
Wewe kwa akili yako Putin aliposema atakayemsaidia Ukraine atachexea Moto ulidhan USA atatishika???