Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kwanza, Hatuwezi kuthibitisha kama umewahi kushuhudia vita au umewahi kuingia front, mtu yeyote akiwa nyuma ya keyboard hata huko Buza kwa mpalange anaweza kusema hayo maneno.Hizo ni mbwembwe tu zisizo na mashiko
Pili, Unaweza kufungua uzi kuhusu waliyofanya US kwenye vita vya huko nchi nyingine. Ni ufinyu wa hoja unaokusababisha kuokteza hoja zisizohusiana kuhalalisha uvamizi na udhalimu wa Russia huko Ukraine.
Tatu, Hao wanajeshi wa Iraq waliouwa walipovamia Iran ilikuwa ni halali yao kabisa kama vile ilivyokuwa halali kuuwawa kwa wanajeshi wa Iddi Amin walipovamia Tanzania, wanajeshi wa Hitler walipovamia majirani zao na ni halali pia kwa wanajeshi wa Urusi waliokubali kuvamia Ukraine kugeuzwa mbolea za mazao ya Ukraine.

Ndio maana nikasema vita ni vita na watu wanakufa tu
Nimeshuhudia vita na front nimeingia pia mkuu najua madhara ya vita sio wa kuhadithiwa
Kumbuka vita ya Iraq alipovamia Kuwait mimi nilikuwa huko na walichkifanya hawa mnaowatetea ni unyama ambao utakuwa kwenye vitabu miaka mingi ijayo
Baada ya Iraq soldiers kuamua kuondoka Kuwait baada ya kuzidiwa nguvu na kuona hawawezi kupigana na Dunia nzima wakaamua kutoka wakiwa Kuwait
Kulichofuata ni kuuwawa na ndege za Kivita bila huruma na ndio ikaitwa HIGHWAY OF DEATH
Nilikuwa huko na nimeshuhudia hiyo highway na ninaijua vizuri kwa sababu ilikuwa njia yangu ya kwenda kazi kwa miaka mingi
Wanajeshi wamepigwa wakiwa wanakimbia kurudi kwao na hawa hawa NATO na [emoji631]na [emoji289]
Mtabishana na ninajua kuna watu wamo humu wananukuu maneno tu na kufuata mkumbo ila hata bunduki hawajawahi kuiona
Kwa hiyo hapo Mrusi ameuwa iwe fundisho na legacy yao kuwa don't mess with us
Ni kama usa walivyofanya Iraq
Highway of Death asieijua ni hii hapa inatoka Jahra, Kuwait mpaka Basra,Iraq
Wametuharibia maisha tu mafala hao
View attachment 2380456View attachment 2380457