Jicho la tabu: Marekani wakijiridhisha Putin anapanga kutumia nyuklia, watamuwahi kabla hajafanya hivyo na watamgeuzia kibao katumia

Kwanza, Hatuwezi kuthibitisha kama umewahi kushuhudia vita au umewahi kuingia front, mtu yeyote akiwa nyuma ya keyboard hata huko Buza kwa mpalange anaweza kusema hayo maneno.Hizo ni mbwembwe tu zisizo na mashiko

Pili, Unaweza kufungua uzi kuhusu waliyofanya US kwenye vita vya huko nchi nyingine. Ni ufinyu wa hoja unaokusababisha kuokteza hoja zisizohusiana kuhalalisha uvamizi na udhalimu wa Russia huko Ukraine.

Tatu, Hao wanajeshi wa Iraq waliouwa walipovamia Iran ilikuwa ni halali yao kabisa kama vile ilivyokuwa halali kuuwawa kwa wanajeshi wa Iddi Amin walipovamia Tanzania, wanajeshi wa Hitler walipovamia majirani zao na ni halali pia kwa wanajeshi wa Urusi waliokubali kuvamia Ukraine kugeuzwa mbolea za mazao ya Ukraine.
 
Naona kwenye mijadala huwa unaishia JF tu sidhani kama umejiunga kwenye forums zingine duniani

Unaweza kubishana na mimi au kubeza kwa ninachokiandika au kukijua ila kumbuka hunijui wala mimi sikujui lakini kwa kuwa umezoea labda kudanganya ndio maana unaona kila mmoja ni mjanja mjanja tu

Sasa nijieleze kwa uongo kwa faida ya nani maana sihitaji kitu kwa mtu
Kuna forums nyingi sana hata za wenye ndege binafsi zipo sasa kama ukisoma hizo watu wakiweka mpaka picha za ndege zao na kujadili naona wewe ungewaponda wote na kusema acheni uongo nyie

Mkuu naona umasikini umewaharibu akili sana kiasi unaona mtu kutoka nje ya nchi ni Tambo kubwa sana
Sasa weka record hii pia nimetembea sana nchi 32 Duniani na zinaendelea
Wewe jisifie kuishi hapo ulipo

Hakuna anaejisifu hapa bali ukweli tu mimi nilipo hapa ni mile 1600 tu ukraine haya wewe upo umbali gani [emoji1]

Tubishane tu ila tusiitane waongo huenda siku moja tukaelewana
 

Kambi za jeshi kuwa makazi ya kiraia haizifanyi zisiwe target pale panapotokea vita.

Kwa kesi ya Ukraine, kambi za jeshi hazikuwepo hapo kwenye mall, hiyo mall waliitumia tu kama cover na kuna kuweka vifaa vyao vya kijeshi so kwenye nyanja za kivita inakua ni valid military target.

Ni kwamba mpaka leo hujui sababu ya Putin kuweka SMO hapo Ukraine? Inaonekana wengi wa mashabiki wa NATO/Ukraine mnachangia humu bila kujua hata sababu ya hii vita ni nini?
 
Hahaaaaaaaa...

Shetani anasema mbona ghafla jamani hahaaaaa.. .yaani naye anakuwa hajakamilisha mipango yake hahaaaaaa
 
Urusi nilikua namwamini sana ila tokea vita ya Ukraine nimemuona maneno mengi tu kama Ali Sahafu...yaani asumbuke na Ukraine mwezi wa nane atishie Dunia sio kweli...
Vita ya kumfuata mwenzio alipo, wewe unaemfuata utahitaji nguvu kubwa na usipoangalia utapoteza. Mana yeye anakusubiri, yupo kwake na mitaa yake anaijua vizuri. Ndio ugumu anaoupata Urusi.
 
Kabla ya uvamizi wa Putin ni lini Rais au kiongozi yoyote wa Ukraine aliwahi kusema wanataka kujiunga na NATO?

Kwani bone of contention kati ya Ukraine na Urusi ilikuwa inahusu kitu gani hasa,labda tuanzie hapo.
 
inajilipua kwenda wap ? yaan wewe ujue hilo halaf USA wasiwe na solution , unafikir kwa akili yako fupi USA atalipua nyuklia kutokea nchini kwake ? kabla ya kuchangia vitu vingine reason well
Ndugu, wewe umereason kwenye comment hi?!?!
 
Ifike kipindi watu inabidi wakubali baadhi ya mambo hawafahamu. Huyo jamaa anajua siasa za Tz pekee!

Haya masuala anayoelezea inaonesha hafahamu kitu kwenye uwanja huu anaojaribu kuserebuka nao!
 
Unaota!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…