Nyinyi ndio wenyeweNguvu wanayo tumia kupambana na ushoga ime fanya habari za ushoga ziwe popular zaidi uarabuni na middle east yote kuliko kipindi chochote kile.
KWA kawaida kwa tamaduni za kiarabu habari za ushoga huwa hazizungumzwi kabisa hadharani ni mwiko mkubwa sana kuzungumza habari kama hizo.
Qatar hawakuwa na ulazima wowote ule wa kuandaa hayo mashindano huku wakijua watalazimika kuzungumza habari za ushoga na mashoga.
Nguvu wanayo tumia kupambana na ushoga ime fanya habari za ushoga ziwe popular zaidi uarabuni na middle east yote kuliko kipindi chochote kile.
KWA kawaida kwa tamaduni za kiarabu habari za ushoga huwa hazizungumzwi kabisa hadharani ni mwiko mkubwa sana kuzungumza habari kama hizo.
Qatar hawakuwa na ulazima wowote ule wa kuandaa hayo mashindano huku wakijua watalazimika kuzungumza habari za ushoga na mashoga.
Kuna vitu umesema vinaingia akiiini na vyengine ni mawazo yako bila kuwaza vizuri. Kama unavyosema kuwa kombe hilo la dunia litautangaza ushoga kinyume na matarajio,hiyo itawajulisha ulimwengu mzima kuwa jambo hilo ni ovu na wengi watataka kujua kwaninij waislamu wanalichukui. Uovu huo unatajwa katika Qur'an tunayosoma kila siku na tangazo kubwa kuliko hata kombe la dunia.Watu wanaanza kuelewa kwenye nchi za mashoga na kuuchukia ndipo jana kumetokea kupigana risasi kwenye klabu cha mashoga Marekani.Mambo mengine (hasa mambo ya hovyo kama ushoga) ukitaka yasienee hutakiwi kuyazungumzia kabisa.
Nguvu wanayo itumia Qatar kupambana na ushoga kwenye kombe la DUNIA itafanya hata wale ambao walikuwa hawajui ushoga ni nini wawe curious kujua ni kitu GANI hicho.
Sasa hivi ushoga unatajwa mara nyingi zaidi kuliko hata kombe lenyewe.
Nahisi walio peleka kombe Qatar agenda yao kuu ilikuwa ni kuutangaza ushoga in an indirect way (there is no bad publicity)
Walijua waarabu wataingia mkenge na kutumia nguvu kubwa kudeal na ishu ya ushoga jambo ambalo lita upromote ushoga in the process.
Kama watu wa Intelligence wa Qatar hawaku waza hiki ninacho kiwaza mimi basi tayari wamekwisha feli unless otherwise ndani ya serikali ya Qatar wapo mapandikizi wa USA and co ambao WANAJUA kitu GANI wanakifanya.
Nipo nimekaa pale mtakuja kuniambia.
JK akiwa Rais aliwahi kuulizwa swali na mwandishi wa CNN.
Mwandishi: Nini misimamo wako kuhusu haki za mashoga.
J.K: katika jamii ninayo ishi baadhi ya mambo ni taboo/mwiko hata kuyazungumzia KWA hiyo sina chochote cha kukujibu.
FANTASTIC ANSWER. AND THIS IS WHAT I AM TALKING ABOUT
Kuna vitu umesema vinaingia akiiini na vyengine ni mawazo yako bila kuwaza vizuri. Kama unavyosema kuwa kombe hilo la dunia litautangaza ushoga kinyume na matarajio,hiyo itawajulisha ulimwengu mzima kuwa jambo hilo ni ovu na wengi watataka kujua kwaninij waislamu wanalichukui. Uovu huo unatajwa katika Qur'an tunayosoma kila siku na tangazo kubwa kuliko hata kombe la dunia.Watu wanaanza kuelewa kwenye nchi za mashoga na kuuchukia ndipo jana kumetokea kupigana risasi kwenye klabu cha mashoga Marekani.
🤣🤣🤣🤣🤣Walioanzisha mpira ndio walioanzisha ushoga. Mpira ndio dini mpya kwa sasa, ibada hii ufatiliwa live na watu takribani bilioni moja live duniani. So Hakuna dini yeyeto iliyoweza jaza watu zaidi ya bilioni moja kwenye ibada moja kama mpira. Mpira ndie mungu anaeabudiwa, watazamaji ndio waumini, refa ndie mwendesha ibada, wafadhiri ndio wazee wa kanisa, malanzi men ndio Wahudumu wa kanisa, uwanja na TV ndio nyumba ya ibada.
Sahihi kabisa mkuu.Wenzetu akili nyingi sana
Huyu jamaa sio mzima.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hukumu ni kitanzi hukoTatizo ni kwamba watafanya vijana wengi wa arabuni na middle east kuwa curious na huo ushoga na hapo ndipo ushoga utakapo tamalaki katika nchi hizo kama ambavyo sasa hivi Misri, Jordan na Lebanon umeanza kutamalaki
Unaweza kuona hata kwa watoto wa kike wale wanaosisitiziwa sana kutoshiriki mapenzi ya utotoni ndio huwa wanakuwa na Shauku ya kujaribu na hata wakijaribu huwa hawana tahadhari mwisho ni mimba na maradhi kuna mipaka ya kuongelea jambo sio kila saa shoga shoga ***** ***** he mpaka watoto huko Qatar saivi watakuwa wanaulizana hiki ni kitu gani mwisho watajaribu na ndo mwanzo wa kuharibika.....nikiwa mdogo nyumbani kulikuwepo na panga(visu) viwili...kimoja butu kwa matumizi ya watu wote na jingine safi lenye makali ni la baba na ukikutwa nalo ni kipigo. Ajabu pamoja na kupigwa tulipenda sana kulitumia Hilo la baba! Kwa mjomba hivyo hivyo kulikuwepo na mapanga mawili kama nyumbani, ila hapakuwepo na zuio la kuyatumia kama kwetu aiabu watoto wa mjomba hawakuwa wakipenda kutumia lenye makali kisa wanasema ukizubaa linakukata!
Binadamu naturally tumeumbwa wadadisi (curiousity) sasa hivi naamini walimu wa chekechea wa Qutar swali watakalokuwa wanaulizwa sana ni hili la ushaoga....
Sure this is what I was talking aboutUnaweza kuona hata kwa watoto wa kike wale wanaosisitiziwa sana kutoshiriki mapenzi ya utotoni ndio huwa wanakuwa na Shauku ya kujaribu na hata wakijaribu huwa hawana tahadhari mwisho ni mimba na maradhi kuna mipaka ya kuongelea jambo sio kila saa shoga shoga ***** ***** he mpaka watoto huko Qatar saivi watakuwa wanaulizana hiki ni kitu gani mwisho watajaribu na ndo mwanzo wa kuharibika..
Halafu kibaya zaidi Qatar wapo karibu na Holy Land ( Saidia) ni hatari sana kupeleka habari za ushoga ktk eneo hilo la kijiografia...nikiwa mdogo nyumbani kulikuwepo na panga(visu) viwili...kimoja butu kwa matumizi ya watu wote na jingine safi lenye makali ni la baba na ukikutwa nalo ni kipigo. Ajabu pamoja na kupigwa tulipenda sana kulitumia Hilo la baba! Kwa mjomba hivyo hivyo kulikuwepo na mapanga mawili kama nyumbani, ila hapakuwepo na zuio la kuyatumia kama kwetu aiabu watoto wa mjomba hawakuwa wakipenda kutumia lenye makali kisa wanasema ukizubaa linakukata!
Binadamu naturally tumeumbwa wadadisi (curiousity) sasa hivi naamini walimu wa chekechea wa Qutar swali watakalokuwa wanaulizwa sana ni hili la ushaoga....