Nyinyi ndio wenyeweNguvu wanayo tumia kupambana na ushoga ime fanya habari za ushoga ziwe popular zaidi uarabuni na middle east yote kuliko kipindi chochote kile.
KWA kawaida kwa tamaduni za kiarabu habari za ushoga huwa hazizungumzwi kabisa hadharani ni mwiko mkubwa sana kuzungumza habari kama hizo.
Qatar hawakuwa na ulazima wowote ule wa kuandaa hayo mashindano huku wakijua watalazimika kuzungumza habari za ushoga na mashoga.