Jicho la tatu sakata la Mpina vs Bashe na hasira ya Spika Tulia

Yusuf alipokuwa akiagana na nduguzo wakitoka misri kurudi kanani aliwaambia wasigombane njiani...sasa hawa mbona wameanza kugombana tena?!
 
Unaona unavyojishushia heshima uliyonayo. Ndiyo maana tunasema kila siku uko biased.
 
Mkuu TumaniEl

The bronze must be drilled out to remove the mice and dung

I can assure you that whoever would inflict any harm on Hon Mpina will regret it forever in his lifetime.
 
Tumeshawazoea kujifariji ndo mtaji wenu

Jamaa The Palm Beach kauliza maswali ya kufikirisha na ya msingi sana ya kujadili.....

Wewe unachukulia ni kujifariji? Really?

Ni kweli mtu unajiuliza, hivi huyu Luhaga Mpina mpaka bank statement za kampuni zilizofanya ufisadi huu wa sukari aliwezaje kuzipata kirahisi vile? Yaani wakampa tu huku wakijua wanaenda kufunuliwa uchi wao?

Honestly, me I don't get it!!;
 
Point number mbili, mpina hayupo mwenyewe, and si kwamba hajui taratibu za bunge ila alihisi or anajua taarifa zile zingefungiwa kwenye droo, so akanona the best options ni kuwawahi wahusika before hawajabadili chochote
Wanasema kilingala kikwetu.kumfata mamba kumayi
 
Hivi bado tunakuwa wavivu wa kufikiri? Wakina Luhanga ni matayatisho ya uchaguzi 2025, ambao watakaokwenda kuwavuruga wapinzani. Hizo ni sanaa za kisiasa.
 
Amenisikitisha sana huyu dada anamaanisha kua mtu akiona maovu Anyamaze kwamba akisema ukweli atanyimwa nafasi ya kurudi bungeni.
Mtu kafichua wizi, badala ya kumsaidia wezi wawajibishwe, anatishiwa kuukosa ubunge!

Trump hakukosea kuyaita haya manchi nchi mkund.u.
 
Hii Ni dhahiri nchi imeshauzwa na wahuni,na Mama wa taifa ndo kiongozi wao kuipiga mnada hii nchi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ujumbe wake una seal/ code.

Na amefanya kusudi Ili waliolengwa waelewe na wengine wasome na wasielewe.
Huyo siku zote yupo hivyo. Anadhani hizo 'code' ni lugha ngumu. Hata hivyo, hakuna 'consistency' yoyote katika hizo unazoziita 'code'. Ni ulimbuken wake tu.

Mbona wachangiaji lukuki nzima kwenye mada hii hii wamedadavua vizuri sana alicho vungavunga yeye!
 
Mrejeo muhimu huu.
Ahsante kwa kuifanya hii kazi nzuri.
 
Nakubaliana na wewe.Spika hakuwa sawa wakati anatangaza uamuzi wa kumshtaki Mpina kwenye Kamati ya Maadili.
Pia,leo Musukuma alikuwa anatetea hoja ya sukari kwa sauti dhaifu isiyojiamini.
 
"Shadow war inside secret institution."

Yote aliyoongea HOJA Iko hapo pekee.
 
Hii inaweza ikawa ni "futuhi"ccm inafanya ili kuwapotezea muda na direction, watZ wanaopenda sensitional news! Badala kuwa makini na bajeti iliyopo bungeni,tutapewa muvi ili to concentrate huko, huku Mambo mazito yakipita,
We all know, ccm regime, is the group of thieves, all regime post Nyerere, were and are thieves,
These ccm guys, and what ever regime comes after this, are thieves of public money, there is nothing new, what comes to public domain, is tip of iceberg! They are clook s
 
Ndio mtetezi wa dini ya mnyazi unatetea dhulmat ccm ninani mpaka mtanzania halali asiingie bungeni kisa ccm? Mtetezi wa dini ya mnyazi? Ndio maana mnapigwa mabomu na mayahudi kwa usaliti huu.
Wanatandikwa bala a,Bibi na Dad hawataki kuwaona tena magaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…