Jicho la tatu: Walianzisha ugomvi wa mawe wakati wanaishi kwenye nyumba ya vioo

Rubbish
 
Wacha wahuni waonyeshane uhuni😄
 
pambana na chama lako la magaidi achana na CCM
kibaya zaidi wale wote walioteuliwa au faidika na mwendazake, wanamtishia mama asiwaguse, kwamba kwa kuwagusa wao ana haribu legacy ya magu...

mama anaupiga mwingi, mmoja mmoja atachomolewa
 
Mbona unajibebisha kwa CCM komaa na CDM yako!?
 
Binafs naona ni upuuzi tu yanayoendelea! Mama amechagua njia ya kufanya kazi kimyakimya angeendelea tu haina maana kuona malumbano yasiyo na staha mitandaoni!
 
Hapa tayari umeshapanic hadi umeyoka nje ya mada.

Hii fungulia thread yake inayojitegemea.
 
UNGEKUA MCHAMBUZI MZURI WA MASWALA YA SIASA UNGELIONA HILO LA MPIRA KUCHEZWA KWENYE 'UNEVEN GROUND'. KWA HALI HIYO UNGEGUNDUA VILEVILE HATA WEWE AMBAYE PENGINE NI MPUMBAVU UNGEHESABIWA 'SMART' KWENYE HUO UWANJA.
 
Nasema tena, "Kosa kubwa alilofanya Mama ni kutovunja baraza la mawaziri alipopokea kijiti" kukosa kufanya hivyo baadhi ya watu ndani ya system wameshindwa kutambua authority yake na yeye kashindwa kuionesha!
 

KICHAMA, CCM IS STRONGER THAN NORMAL

UGOMVI WA CCM KWA CCM NDANI UNAIWEKA SAWA NA AUTOMATICALLY UNAFUTA UPINZANI!!!

Leo ilitakiwa uje na CDM wamesema nini na wapi, ila hauna ajenda hizo!!

ajenda ni mataga sukuma gang

Hivi mama samia si alikuwa makamu wa rais? KURA ZA serikali hii si ni za JPM? wabunge wote wale ni wa JPM!!!

uwage na akili basi, siasa ni akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…