mangichogo
JF-Expert Member
- Oct 30, 2023
- 1,229
- 2,414
Royal family..Maridhiano yako vizuriii
View attachment 3503871
Maridhiano yaliyokaa kimtego yataharibu zaidiUshauri tu wangu binafsi, nimefikiria kwanini Jumuia ya Madola imetuma Mwakilishi/Kiongozi atakayesimamia au kuongoza maridhiano, naona hapo kama pana kamtego furani hivi
Wananchi tukikataa maridhiano, vyama vya upinzani vikikataa maridhiano, hamuoni kama tunampa Samia credit na serikali yake?
Jumuia ya Madola sio taasisi ndogo na inaweza ikaenda kwenye taasisi kubwa nyingine duniani na kuwaambia kuwa tatizo la Tanzania sio serikali bali ni vyama vya kisiasa, watasema serikali ilikubali kukaa chini na kuzungumza ili kuyamaliza lakini watanzania ndio hawataki na sisi wananchi tukakosa sapoti ya hizo taasisi
Mimi sioni haja ya kuogopa mazungumzo. Si wamemwita muwakilishi kutoka jumuhia ya madola? Tuingie kwenye mazungumzo ili huyo mwakilishi ashindwe yeye. Mimi ninaamini wananchi na vyama vya upinzani tuna hoja bora na za nguvu sana za kuishinda CCM na huyo mwakilishi wao.
Tukwepe huo mtego, tuingie kwenye majadiliano ili washindwe wenyewe na hizo jumuhia zitafahamu wapi kwenye matatizo
Inafanana fanana na familia ya kifalme!Maridhiano yako vizuriii
View attachment 3503871
Acha ujinga weweUshauri tu wangu binafsi, nimefikiria kwanini Jumuia ya Madola imetuma Mwakilishi/Kiongozi atakayesimamia au kuongoza maridhiano, naona hapo kama pana kamtego furani hivi
Wananchi tukikataa maridhiano, vyama vya upinzani vikikataa maridhiano, hamuoni kama tunampa Samia credit na serikali yake?
Jumuia ya Madola sio taasisi ndogo na inaweza ikaenda kwenye taasisi kubwa nyingine duniani na kuwaambia kuwa tatizo la Tanzania sio serikali bali ni vyama vya kisiasa, watasema serikali ilikubali kukaa chini na kuzungumza ili kuyamaliza lakini watanzania ndio hawataki na sisi wananchi tukakosa sapoti ya hizo taasisi
Mimi sioni haja ya kuogopa mazungumzo. Si wamemwita muwakilishi kutoka jumuhia ya madola? Tuingie kwenye mazungumzo ili huyo mwakilishi ashindwe yeye. Mimi ninaamini wananchi na vyama vya upinzani tuna hoja bora na za nguvu sana za kuishinda CCM na huyo mwakilishi wao.
Tukwepe huo mtego, tuingie kwenye majadiliano ili washindwe wenyewe na hizo jumuhia zitafahamu wapi kwenye matatizo
Serikali hii ya 97% za tumeUshauri tu wangu binafsi, nimefikiria kwanini Jumuia ya Madola imetuma Mwakilishi/Kiongozi atakayesimamia au kuongoza maridhiano, naona hapo kama pana kamtego furani hivi
Wananchi tukikataa maridhiano, vyama vya upinzani vikikataa maridhiano, hamuoni kama tunampa Samia credit na serikali yake?
Jumuia ya Madola sio taasisi ndogo na inaweza ikaenda kwenye taasisi kubwa nyingine duniani na kuwaambia kuwa tatizo la Tanzania sio serikali bali ni vyama vya kisiasa, watasema serikali ilikubali kukaa chini na kuzungumza ili kuyamaliza lakini watanzania ndio hawataki na sisi wananchi tukakosa sapoti ya hizo taasisi
Mimi sioni haja ya kuogopa mazungumzo. Si wamemwita muwakilishi kutoka jumuhia ya madola? Tuingie kwenye mazungumzo ili huyo mwakilishi ashindwe yeye. Mimi ninaamini wananchi na vyama vya upinzani tuna hoja bora na za nguvu sana za kuishinda CCM na huyo mwakilishi wao.
Tukwepe huo mtego, tuingie kwenye majadiliano ili washindwe wenyewe na hizo jumuhia zitafahamu wapi kwenye matatizo
Una hofu ya kushindwa kwenye maridhiano? Mbona tuna hoja nyingi sana za kuishinda ccm. TUINGIE KWENYE MAZUNGUMZO ILI TUISHINDE CCM KWENYE MARIDHIANO na tutume ujumbe kwenye hiyo jumuhiaMaridhiano yaliyokaa kimtego yataharibu zaidi
Kitendo Cha kuingia kwenye maridhiano ya mtego ccm ITAKUWA imejisafisha mazima
Watanyoshea wenzao mikono kwamba hawataki maridhiano
Pia maridhiano hayopo kwenye level ya vyama vya siasa Tena
Maridhiano yako Kwa wanachi wenyewe
Hivyo vyama haviaminiki Tena na wanachi walishashindwana muda mrefu
kwamba hao Jumuiya ya madola hawataangalia kwanini wapinzani wamegoma hayo maridhiano? Au wao wanaangalia upande mmoja tu? Katafute wa kuwahadaa. Hao Jumuiya ya madola hawana msaada wowote wa maana, kwani watu wamekuwa wakitekwa, chaguzi zikiharibiwa, na serekali hadi sasa inaendelea kuteka na kuua wapinzani kimya kimya. Mbona hatuwaoni hao jumuiya ya madola? Acha kututega kwa mbinu ya kichovu.Ushauri tu wangu binafsi, nimefikiria kwanini Jumuia ya Madola imetuma Mwakilishi/Kiongozi atakayesimamia au kuongoza maridhiano, naona hapo kama pana kamtego furani hivi