Ni kina nani hao waliochaguliwa kuunda hiyo tume ya uchunguzi kutoka kila upande??Ushauri tu wangu binafsi, nimefikiria kwanini Jumuia ya Madola imetuma Mwakilishi/Kiongozi atakayesimamia au kuongoza maridhiano, naona hapo kama pana kamtego furani hivi
Wananchi tukikataa maridhiano, vyama vya upinzani vikikataa maridhiano, hamuoni kama tunampa Samia credit na serikali yake?
Jumuia ya Madola sio taasisi ndogo na inaweza ikaenda kwenye taasisi kubwa nyingine duniani na kuwaambia kuwa tatizo la Tanzania sio serikali bali ni vyama vya kisiasa, watasema serikali ilikubali kukaa chini na kuzungumza ili kuyamaliza lakini watanzania ndio hawataki na sisi wananchi tukakosa sapoti ya hizo taasisi
Mimi sioni haja ya kuogopa mazungumzo. Si wamemwita muwakilishi kutoka jumuhia ya madola? Tuingie kwenye mazungumzo ili huyo mwakilishi ashindwe yeye. Mimi ninaamini wananchi na vyama vya upinzani tuna hoja bora na za nguvu sana za kuishinda CCM na huyo mwakilishi wao.
Tukwepe huo mtego, tuingie kwenye majadiliano ili washindwe wenyewe na hizo jumuhia zitafahamu wapi kwenye matatizo
Ungekufa au kufiwa ungeingia hayo mashenziano yako nyuumbu?Ushauri tu wangu binafsi, nimefikiria kwanini Jumuia ya Madola imetuma Mwakilishi/Kiongozi atakayesimamia au kuongoza maridhiano, naona hapo kama pana kamtego furani hivi
Wananchi tukikataa maridhiano, vyama vya upinzani vikikataa maridhiano, hamuoni kama tunampa Samia credit na serikali yake?
Jumuia ya Madola sio taasisi ndogo na inaweza ikaenda kwenye taasisi kubwa nyingine duniani na kuwaambia kuwa tatizo la Tanzania sio serikali bali ni vyama vya kisiasa, watasema serikali ilikubali kukaa chini na kuzungumza ili kuyamaliza lakini watanzania ndio hawataki na sisi wananchi tukakosa sapoti ya hizo taasisi
Mimi sioni haja ya kuogopa mazungumzo. Si wamemwita muwakilishi kutoka jumuhia ya madola? Tuingie kwenye mazungumzo ili huyo mwakilishi ashindwe yeye. Mimi ninaamini wananchi na vyama vya upinzani tuna hoja bora na za nguvu sana za kuishinda CCM na huyo mwakilishi wao.
Tukwepe huo mtego, tuingie kwenye majadiliano ili washindwe wenyewe na hizo jumuhia zitafahamu wapi kwenye matatizo
EWaaa
KillerUshauri tu wangu binafsi, nimefikiria kwanini Jumuia ya Madola imetuma Mwakilishi/Kiongozi atakayesimamia au kuongoza maridhiano, naona hapo kama pana kamtego furani hivi
Wananchi tukikataa maridhiano, vyama vya upinzani vikikataa maridhiano, hamuoni kama tunampa Samia credit na serikali yake?
Jumuia ya Madola sio taasisi ndogo na inaweza ikaenda kwenye taasisi kubwa nyingine duniani na kuwaambia kuwa tatizo la Tanzania sio serikali bali ni vyama vya kisiasa, watasema serikali ilikubali kukaa chini na kuzungumza ili kuyamaliza lakini watanzania ndio hawataki na sisi wananchi tukakosa sapoti ya hizo taasisi
Mimi sioni haja ya kuogopa mazungumzo. Si wamemwita muwakilishi kutoka jumuhia ya madola? Tuingie kwenye mazungumzo ili huyo mwakilishi ashindwe yeye. Mimi ninaamini wananchi na vyama vya upinzani tuna hoja bora na za nguvu sana za kuishinda CCM na huyo mwakilishi wao.
Tukwepe huo mtego, tuingie kwenye majadiliano ili washindwe wenyewe na hizo jumuhia zitafahamu wapi kwenye matatizo
I love how desperate the system has been in these last few days. Ni ishara kwamba kuna sehemu sahihi wananchi wamebinya!
Wewe ni CCM usituhadai mfano wa watoto wadogo.Una hofu ya kushindwa kwenye maridhiano? Mbona tuna hoja nyingi sana za kuishinda ccm. TUINGIE KWENYE MAZUNGUMZO ILI TUISHINDE CCM KWENYE MARIDHIANO na tutume ujumbe kwenye hiyo jumuhia
Kuna vyama 16 vya upinzani vilivyoshiriki uchaguzi, viende vikafanye maridhiano. Kwanza unaridhiana kuhusu ishu gani maana tuliambiwa ni wahalifu wachache waliofuata mkumbo ndio walifanya vurugu na wanaenda kusamehewa. Tupo vizuri kila mtu aendelee na mishe zake.vyama vya upinzani vikikataa maridhiano,