- Thread starter
- #41
Salamu ya Russia kama sio fake ni salama iliyo na gubu ndani yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salamu ya Russia kama sio fake ni salama iliyo na gubu ndani yake.
Speculations with no grounded basesHabari wana JF
Watanzania, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..
Nitajadili mambo makubwa mawili
1. Vita 'kamili' ya III ya dunia.
2. Namna Tz inavyofanyiwa ujasusi
Hoja No. 1
Kwa wasiojua ni kwamba vita kamili ya 3 ya Dunia imekwisha kuanza. Pole kwa wale wanaosema kuna tishio la WW3, sio tishio, ni vita kamili ilishaanza.
Naomba wanaoita hili, kuwa ni tishio, wawe ni layman tu, wasiwe kati ya Majasusi wetu. Maana kama akili ya jasusi na kufunzwa kote, hajajua vita ishaanza, huyo atakuwa hajafuzu bado na ni hasara kwa kwa Taifa.
Katika mazingira kama hayo, Niwaulize Majasusi wetu. Ni nani alitoa pendekezo la Mama kwenda kufanya ziara Marekani wakati huu?
Hakuna kosa kubwa sana Ujasusi wa Tanzania mmefanya kama hili. Iko hivi, vita yoyote ya dunia huigawa dunia ktk mapande mawili. Sasa niwaulize, mmetupeleka Watanzania upande wa Mmarekani?
Mnaelewa ni kwa nini baada ya Vita ya pili ya dunia (WW2), Tanzania na mataifa baadhi tuliamua kuwa non-aligned (NANs)/, tusioegemea upande wowote.
Huu ni wakati wa kukaa chini na ku draft, serikali yetu inajiendeshaje. Viongozi wetu wapi wanatembelea, na kwa nini, na wanaenda na hoja zipi.
Mfano sio wakati wa kuacha, eti Rais ajiamulie tu aende popote. Mfano kwenda kwake Marekani kumetusaidia nini katika kipindi hiki. Hakuna. Kakaa marekani karibu siku 10. Tumepata nini kama Taifa?!. Hakuna. Wapo watakaosema eti ''Loyo Tua'', au mikataba aliosaini. Mkataba ambao Rostam angeweza saini hata bila Rais kuwepo, ndio mnaouzungumzia kweli?.
Maswali ya kujiuliza...
a. Mama ametoka tu Marekani, Makamu wa Rais wa US aliyekutana na Mama anajitangaza kapatwa na Covid-19, is it a coincidence?
b. Concentration ya Marekani ipo ktk kukusanya nguvu/ushawishi na bajeti kupigana na Urusi, hamkujua kuwa Mama hawezi kusaini chochote na Amerika saivi!?
c. Kwa nyie kwenda Amerika, Je itakapofika wakati tunatakiwa kutoa vijana wakapiganie upande huo, tutawapeleka? Hamjui Wazee wetu walipigana WW1, na WW2 bila fidia yoyote? na ndio maana tukaamua kutofungamana na upande wowote.
d. Kwa nini hamkuwaza ku cancel hayo ma 'Loyo tua' ili yaje yazinduliwe baadae huko? Au mnataka tuamini hii 'Loyo tua' sio yetu, na ndio maana tunafuata tu ratiba ya Director wa muvi?!
Ushauri kidogo
1. Taifa kupitia viongozi wake wanatakiwa wawe na ziara za kimkakati tu ktk wkt huu.
Mfano kutembelea mataifa ambayo tunaagiza kwao mafuta/nishati. Kuhakikisha tuna uhakika kwamba tutaendelea kuuziwa mafuta kwa muda kama tulivyoafikiana.
2. Kutembelea mataifa ambayo yana mbadala wa bidhaa tulizokuwa tunapata Urusi/Ukraini.
3. Ziara zingine ziwe ni ktk mataifa ambayo hayafungamani na upande wowote au yapo moderate ktk mijadala hii.
4. Lazima Cabinet ikae na kuja na mpango mbadala wa uzalishaji wa dharura wa ndani ya nchi ili kufidia gap la bidhaa zitakazoadimika. Mfano mbolea, mazao ya kilimo (mafuta ya kula, ngano, shayiri, mchele, maharage, mahindi, n.k)
Hii iende pamoja na serikali kuwasaidia moja kwa moja wakulima vifaa vya kuhifadhia ziada ya mazao yao.
Ni ujuha kukaa kama vile dunia ni ile ile. Ni upumbavu kukaa na kusema tuombe Mungu vita iishe, akili aliyotupatia Mungu tunaifanyia nini?
Nitaendelea sehemu ya 2
Namna Tanzania inavyofanyiwa ujasusi (Rw, Ug, Ke...
Kuna watu wamenipinga kwamba hii vita haipo.Wakati corona inaingia tuliona Kama vile haituhusu tukadhani inaishia huko huko kwao.. Matokeo yake ikaspread dunia nzima. Vita inakuja na Vita hii itatuhusu Sana na wanajeshi plus watu wa kujitolea kutoka Tanzania wataenda.Pia Hali ya maisha itabadilika Sana .tujipange Mambo magumu yaja..
Afadhali👍, Kukaa kimya kungemfanya aone ameandika vitu vya maaaaana!..1. Ulichoandika wala sio ujasusi ni speculations tu vijiweni.
2. WW3 haijaanza na haiko karibu kuanza.
3. Kama taifa tuko aligned na USA toka miaka ya Mwinyi, you have no idea how much of our intelligence comes as a courtesy of US and their allies. Uaujua ushirikiano wetu na USA kwenye counter terrorism?
4. Ziara ya mama USA sio mistake, vile ndivyo ilivyopaswa kuwa.
🤣🤣🤣🤣 hamna kitu.Sidhan kama unaijua vyema Intelligence ya TZ. However, ninachoweza kusema ni kuwa it was bad move kwa Rais kufanya hiyo royal tour kwa sasa
Intelligence inayojua kuiba kura za wapinzani na kuwabambikia kesi, watu wanatekwa yenyewe yapo kimya tuu, madini yanaibiwa left and right in billions kila siku yamelala tuu, ningekuwa Raisi ile Idara ndio ingekuwa ya kwanza kuifumuaSidhan kama unaijua vyema Intelligence ya TZ. However, ninachoweza kusema ni kuwa it was bad move kwa Rais kufanya hiyo royal tour kwa sasa
Corona bado ipo kumbe?Habari wana JF
Watanzania, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..
Nitajadili mambo makubwa mawili
1. Vita 'kamili' ya III ya dunia.
2. Namna Tz inavyofanyiwa ujasusi
Hoja No. 1
Kwa wasiojua ni kwamba vita kamili ya 3 ya Dunia imekwisha kuanza. Pole kwa wale wanaosema kuna tishio la WW3, sio tishio, ni vita kamili ilishaanza.
Naomba wanaoita hili, kuwa ni tishio, wawe ni layman tu, wasiwe kati ya Majasusi wetu. Maana kama akili ya jasusi na kufunzwa kote, hajajua vita ishaanza, huyo atakuwa hajafuzu bado na ni hasara kwa kwa Taifa.
Katika mazingira kama hayo, Niwaulize Majasusi wetu. Ni nani alitoa pendekezo la Mama kwenda kufanya ziara Marekani wakati huu?
Hakuna kosa kubwa sana Ujasusi wa Tanzania mmefanya kama hili. Iko hivi, vita yoyote ya dunia huigawa dunia ktk mapande mawili. Sasa niwaulize, mmetupeleka Watanzania upande wa Mmarekani?
Mnaelewa ni kwa nini baada ya Vita ya pili ya dunia (WW2), Tanzania na mataifa baadhi tuliamua kuwa non-aligned (NANs)/, tusioegemea upande wowote.
Huu ni wakati wa kukaa chini na ku draft, serikali yetu inajiendeshaje. Viongozi wetu wapi wanatembelea, na kwa nini, na wanaenda na hoja zipi.
Mfano sio wakati wa kuacha, eti Rais ajiamulie tu aende popote. Mfano kwenda kwake Marekani kumetusaidia nini katika kipindi hiki. Hakuna. Kakaa marekani karibu siku 10. Tumepata nini kama Taifa?!. Hakuna. Wapo watakaosema eti ''Loyo Tua'', au mikataba aliosaini. Mkataba ambao Rostam angeweza saini hata bila Rais kuwepo, ndio mnaouzungumzia kweli?.
Maswali ya kujiuliza...
a. Mama ametoka tu Marekani, Makamu wa Rais wa US aliyekutana na Mama anajitangaza kapatwa na Covid-19, is it a coincidence?
b. Concentration ya Marekani ipo ktk kukusanya nguvu/ushawishi na bajeti kupigana na Urusi, hamkujua kuwa Mama hawezi kusaini chochote na Amerika saivi!?
c. Kwa nyie kwenda Amerika, Je itakapofika wakati tunatakiwa kutoa vijana wakapiganie upande huo, tutawapeleka? Hamjui Wazee wetu walipigana WW1, na WW2 bila fidia yoyote? na ndio maana tukaamua kutofungamana na upande wowote.
d. Kwa nini hamkuwaza ku cancel hayo ma 'Loyo tua' ili yaje yazinduliwe baadae huko? Au mnataka tuamini hii 'Loyo tua' sio yetu, na ndio maana tunafuata tu ratiba ya Director wa muvi?!
Ushauri kidogo
1. Taifa kupitia viongozi wake wanatakiwa wawe na ziara za kimkakati tu ktk wkt huu.
Mfano kutembelea mataifa ambayo tunaagiza kwao mafuta/nishati. Kuhakikisha tuna uhakika kwamba tutaendelea kuuziwa mafuta kwa muda kama tulivyoafikiana.
2. Kutembelea mataifa ambayo yana mbadala wa bidhaa tulizokuwa tunapata Urusi/Ukraini.
3. Ziara zingine ziwe ni ktk mataifa ambayo hayafungamani na upande wowote au yapo moderate ktk mijadala hii.
4. Lazima Cabinet ikae na kuja na mpango mbadala wa uzalishaji wa dharura wa ndani ya nchi ili kufidia gap la bidhaa zitakazoadimika. Mfano mbolea, mazao ya kilimo (mafuta ya kula, ngano, shayiri, mchele, maharage, mahindi, n.k)
Hii iende pamoja na serikali kuwasaidia moja kwa moja wakulima vifaa vya kuhifadhia ziada ya mazao yao.
Ni ujuha kukaa kama vile dunia ni ile ile. Ni upumbavu kukaa na kusema tuombe Mungu vita iishe, akili aliyotupatia Mungu tunaifanyia nini?
Nitaendelea sehemu ya 2
Namna Tanzania inavyofanyiwa ujasusi (Rw, Ug, Ke...
Ndio, wanasema Vice Kamala kapiga chanjo double lakini kapatwa CovidCorona bado ipo kumbe?
👍Intelligence inayojua kuiba kura za wapinzani na kuwabambikia kesi, watu wanatekwa yenyewe yapo kimya tuu, madini yanaibiwa left and right in billions kila siku yamelala tuu, ningekuwa Raisi ile Idara ndio ingekuwa ya kwanza kuifumua
Sihitaji heshima. Wape heshima akina Mheshimiwa Dr. Waziri Mchumi Mwigulu Lameck Madelu Nchemba.Nilitaka nikuheshimu wewe na bango lako ila nilipoona umetamka loyo tua badala royal tour...wewe ni mpumbavu kama wapumbavu wengine..jitahidini muamke tupo uongozi mwingine chuki haisadii lolote.
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Kwani wewe nani alikuambia kua ukipiga chanjo huwezi tena kupata covid? Unaweza kuweka hapa scientific evidence?Ndio, wanasema Vice Kamala kapiga chanjo double lakini kapatwa Covid
Sihitaji heshima. Wape heshima akina Mheshimiwa Dr. Waziri Mchumi Mwigulu Lameck Madelu Nchemba.
Full stop.
Nikimnukuu msemaji mkuu wa serikali; ......hela zilizotumika ktk muvi na gharama za uzinduzi wa movie ya "loyo tua" sio za watanzania.
Halafu sio sisi tulioiweka hiyo filamu huko sokoni mf. Amazon.
Sisi tumetoa location na starring wa movie. Ngoja niishie hapo.
Kesho mchana saa saba, soma comment#2. Itakuwa hewaniMMwndelezo saa ngapi!!?
Tatizo mwandishi huwezi kumuona hivyo ni kosa kumkadiria hata umri wake. USA wanayo mengi wanayofanya kwa Tanzania na hayajaanza kufanyika jana wala juzi.1. Ulichoandika wala sio ujasusi ni speculations tu vijiweni.