- Thread starter
- #61
Wana Intelijensia wa sasa hivi Tz, huwa wanaamini wao ndio Kila kitu.Tatizo mwandishi huwezi kumuona hivyo ni kosa kumkadiria hata umri wake. USA wanayo mengi wanayofanya kwa Tanzania na hayajaanza kufanyika jana wala juzi.
Huwa ni wepesi sana wa kupinga hoja yoyote, kwa kauli tu "wewe hujui kitu".
Ila nchi yetu imeshapitia mengi sana, ambayo huwa tunajiuliza maswali mengi.
Kuwa mwana Intel ni swala moja, na kufanikiwa ktk Intel ni jambo lingine.