Jicho la Ujasusi la Tanzania linatakiwa kuwa macho sasa kuliko wakati mwingine wowote ule

Speculations with no grounded bases
 
Kuna watu wamenipinga kwamba hii vita haipo.
Nawaonea huruma.
Vipimo vyote vya kuzuia hii vita vishavukwa. Maandalizi yote ya vita yamekamilika.
Asante kwa kunisaidia kuwaelimisha.
 
Afadhali👍, Kukaa kimya kungemfanya aone ameandika vitu vya maaaaana!..
 
Mama alienda kuomba pesa za wawekezaji na promotion ya Royal tour, hayo mengine ni story tuu za vijiweni kwa wasioelewa
 
Sidhan kama unaijua vyema Intelligence ya TZ. However, ninachoweza kusema ni kuwa it was bad move kwa Rais kufanya hiyo royal tour kwa sasa
Intelligence inayojua kuiba kura za wapinzani na kuwabambikia kesi, watu wanatekwa yenyewe yapo kimya tuu, madini yanaibiwa left and right in billions kila siku yamelala tuu, ningekuwa Raisi ile Idara ndio ingekuwa ya kwanza kuifumua
 
Corona bado ipo kumbe?
 
Nilitaka nikuheshimu wewe na bango lako ila nilipoona umetamka loyo tua badala royal tour...wewe ni mpumbavu kama wapumbavu wengine..jitahidini muamke tupo uongozi mwingine chuki haisadii lolote.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
👍
 
Sihitaji heshima. Wape heshima akina Mheshimiwa Dr. Waziri Mchumi Mwigulu Lameck Madelu Nchemba.
Full stop.
 
Ndio, wanasema Vice Kamala kapiga chanjo double lakini kapatwa Covid
Kwani wewe nani alikuambia kua ukipiga chanjo huwezi tena kupata covid? Unaweza kuweka hapa scientific evidence?

Chanjo haizuwii mtu kuto kupata covid bali inakusaidia covid isikulaze haspital au kuzidiwa nayo au kukuua.
 
Ebhana eee kumbe ni project ya watu wenye akili zao... kwahyo Mama analipwa tu ujira wake kama kina Rambo
 
Tatizo mwandishi huwezi kumuona hivyo ni kosa kumkadiria hata umri wake. USA wanayo mengi wanayofanya kwa Tanzania na hayajaanza kufanyika jana wala juzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…