Masinki
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 713
- 481
Poleni Sana ndugu zangu dhidi ya yote ya yaliyotokea Jana pale Kwa Hakimu Mkazi Kisutu.Niliamua kukaa kimya kusikiliza na kusubiri Nini kitajiri katika siku ile ngumu kwa wanachama wa CHADEMA na Familia ya Dr.Vicent Mashinji.hakika ilikuwa siku ngumu Sana Hadi baadhi Yao niliona wakiaga kabisa kuashiria wanaenda kufungwa.
Na hatimaye hukumu ilitoka na kuamuriwa kwa kifungo ama faini ya TSH 350M,hapo nilianza kuona Kila aina ya ushawishi ili kuwachangia wapendwa wao, viongozi wao,na wanachama wenzao.huku Chadema wakimjumlisha Dr Vicente Mashinji (CCM) ambaye hapo awali alikuwa kwao na ndipo kosa Lilipompata.
CCM kwa kuona hivyo wakashtukia Jambo wakaji organise Mkoa Mmoja tu wa DSM Tena bila kelele za michango itakuwa walikutana watu wanne tu wakatoa Fedha hizo na kumuondoa Mwanachama wao Gerezani,hawajasumbua Nchi nzima Bali walibeba Jambo lile kuondoa aibu.
Lakini upande wa Pili endapo wangekuwa na akili wangegawa kimkoa tu hizo fedha zingekuwa zimepatikana haraka mfano Freeman Mbowe Mkoa wa Moshi, Arusha na Tanga wangekuwa wamemtoa,Salim Mwalim DSM tu ingetosha,John Heche &Ester Matiko Mara Tu ingemaliza kazi,Ester Bulaya Bunda tu ingemaliza, Peter Msigwa Iringa tu Tena Asas mwenyewe angemaliza Kila kitu,Halima Mdee Bawacha tu Kanda moja ingemlipia,John Mnyika Bavicha tu wangemaliza.
Tatizo la chama hichi pendwa wanatumia Nguvu kubwa halafu wanafeli master mind wao Ni Failure kwa Kila kitu Sasa ndio Nini watu Hadi wanauza Kuku zao Hadi mayai kuchangia Tatizo badala ya sululuhisho????
Anyway Waambieni na hao wakina Mbowe wachange kiasi kilichobaki hivi zile Ruzuku huwa zinaenda wapi????
Michango mingine Ni vema tunaelekeza kwenye Tatizo mfano Kuna watanzania wenzetu wengi wanaumwa na hawana uwezo wa kujisimamia tuwakumbuke na wao.
Lakini ili mfikishe hicho kiasi kilichobaki wapigieni wadhamini wenu bila hivyo Viongozi wenu watamaliza wiki pale Segerea.
Nimeona niwaeleze tu haya najua mtakereka lakini ukweli mmeupata.usiku mwema