Ni kweli master mind wao ame fail vibaya mno. Sjui walimtoa wapi mshamba huyo?
Kununua wapinzani hakuja msaidia, ananunua mtu mmoja anaacha wapiga kura mil moja nyuma yake!
Amezuia mikutaono ya kisiasa halafu anawasaidia kufanya siasa za kimkakati kupitia sinema zake, kama ya kisutu jana!
Anawafungulia kesi za mauaji ili awakomoe kwa kuwalipisha pesa nyingi ili kuwafilisi, mwisho wa siku watanzania wanasema "ninyi msilipe, pesa zenu kuleni na familia zenu, sisi watanzania wenyewe ndo tunalipa pesa hizo"
Badala watanzania wampende, ndo wanazidi kumchukia!
Anatuma vilaza wake jf waje kumtetea, wanakula za uso na kuishia kuitwa "wajinga"!
Bora wewe bado ni "MPUMBAVU" hujafikia kuitwa mjinga.
Nakushauri baki huko huko upumbavuni maana kunalipa.