The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,950
- 12,550
Nimekusoma mwanzo mwisho, cha ajabu kwa kadiri ulivyokuwa unaenda mbele ktk uandishi wako, ndivyo ambavyo tumbo la kuharisha lilivyokuwa linakuzidi na kuchafua hewa....!!
Mimi mwenyewe kuna wakati nilianza kuamini kuwa kweli CHADEMA imekosa ushawishi na umaarufu kwa umma....
Lakini kwa tukio hili na mwitikio wa wananchi kuchangia viongozi wao kiasi ambacho in less than 24hrs kukakusanywa 234M, si mchezo na si masihara hata kidogo...
Huu ni uthibitisho kuwa, chama hiki bado kina nguvu, ushawishi na kukubalika kwa umma kwa kiwango cha juu kuliko CCM....!!
Wao Tshs 30M ya Mashinji umesema imechangiwa na watu wanne tu. Unadhani sababu ni nini?
Hawawezi kupata watu wanyonge wa kuchangia jerojero ama bukubuku kwa sababu HAWAPENDWI, watu wanaamini wao ni mafisadi na wezi wa fedha za umma...!!
Huwezi kunchangia mwizi aliyekuibia. Na wangejaribu kuomba michango kwa wananchi wanyonge, labda ingechukua miaka 20 kupata Tshs. 30M za Mashinji!!!