The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,950
- 12,550
Sio
Sio kipaumbele changu Cha msingi hizo like zinaweza zisiwe na maana nataka comments ili nielewe uwezo wa kufikiria na kutenda.
Zingekuuma kama ni zakoNipo kando Hadi hapo!!!nikishuhudia mnavyo nyoshwa na michango
Kwa hiyo wewe Ni bendera fuata upepo???acha masihara kiongozi CCM wametumia dk tano kupata 30M Tena Mkoa tu wa DSM nyie Nchi nzima mnashindwa vipi kufikisha 320M per day???na Bado uchaguzi ujao CCM itawaburuza 99% kwa 01%.ndio mtajua hamjui.Nadhani umeamua kuposti mada ili mradi tu uingize B7 ya nyanya leo....
Nimekusoma mwanzo mwisho, cha ajabu kwa kafiri ulivyokuwa unaenda mbele ktk uandishi wako, ndivyo ambavyo tumbo la kuharisha lilivyokuwa linakuzidi....!!
Kwa taarifa yako, mimi mwenyewe kuna wakati nilianza kuamini kuwa CHADEMA imekosa ushawishi na umaarufu....
Lakini kwa tukio hili na mwitikio wa wananchi kuchangia viongozi kiasi ambacho in less than 24hrs kukakusanywa 234M, si mchezo na si masihara....
Huu ni uthibitisho kuwa, chama hiki bado kina nguvu, ushawishi na kukubalika kwa umma kwa kiwango cha juu kuliko CCM....!!
Hivyo ulitaka wafungwe????bila faini??That is the definition of people power,not individualism. In the other hand matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi kutoka upande mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa
Kwa hiyo wewe Ni bendera fuata upepo???acha masihara kiongozi CCM wametumia dk tano kupata 30M Tena Mkoa tu wa DSM nyie Nchi nzima mnashindwa vipi kufikisha 320M per day???na Bado uchaguzi ujao CCM itawaburuza 99% kwa 01%.ndio mtajua hamjui.
Huwezi kujua undani wa Lady Jay Dee amesema ya juu juu Sana but ok vipi kuhusu wengine.Sikiliza swali la mtu maarufu Lady J Dee halafu jifikirie wewe na jibu lako lingukuwaje! Acha kutesa nafsi yako kwa kujinyagia nyongo mwiliniView attachment 1384728
Sent using Jamii Forums mobile app
VIP mkuregenzi Na polisi wasabishi wao lini mtachukua hela zaoHaya tuendelee.