Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Mwezi uliopita, nilienda kumtembelea mpenzi wangu wa zamani Kahama; baada ya kufika, nikatafuta sehemu nzuri ya kupumzika. Nikamjulisha sehemu nilipofikia; na baada ya muda akawa amefika.
Tukaweza kupasha kiporo, na mambo mengine yakaendelea. Sasa katika kubadilishana mawazo, akanisihi sana niwe makini na wanawake ninaopita nao. Akaniambia, kuna rafiki yake mmoja walimaliza naye chuo; alimsindikiza kwenda kwa mtaaamu.
Huyo mwenzake akachanjwa kwenye ulimi pamoja na mbususu; lengo kuu, ni kila mwanaume mwenye kipato atakayeongea naye, ashawishike kuomba mahusiano, na kama watafanya mapenzi, wasiweze kuachana.
Mwisho wa siku, unajikuta unahudumia tu mwanamke; bila kuangalia maendeleo yako au ya familia yako.
Wakuu, tujichunguze kwenye mahusiano tuliyonayo.