Baada ya kuwasiliana naye na kusahihisha shipping address, amenitumia swali lifiatalo " IS THIS THE CORRECT ZIP CODE? +255
Sasa hapo nimjibuje?
Kma jibu ni ndyo wewe mjibu ndiyo. Kama ni hapana mjibu hapana?
Mbona sijakuelewa mkuu ... Hebu fafanua kidogo
Hyo ni country code ya tz ndo mana ktk namba zimu 2natumia hzo hapo. Huwa znaka mwanzo kbsa. Nadhan hyo inaeleweka
Nshamjibu seller wangu kwamba hiyo ndo Country Code yangu na kwamba anaweza kuiandika hivyo au 00255
Adress ya kupokelea mzgo c umempa?
nashukuru wote kwa majibu mliyonipatia. nimeenda crdb leo na nimefanikiwa kupata hiyo code. mhusika wa customer care aliniangalizia kwenye kompyuta na kunipatia..
Mimi leo nimelipia Unlocked new Huawei modem 3131 kwa top rated seller wa eBay from UK
Hii modem ina speed ya kudownload kufikia 21.6Mbps wakati zetu ni 7.2Mbps
Nimekuwa nikinunua Driclor(anti-sweating soln) na imekuwa ikinifikia after 9days almost 7 working days ngoja nione hii ikifika itakuwa imechukua siku ngapi
New Unlocked Huawei E3131 3G 21Mbps HSPA USB Mobile Broadband Dongle Modem UK | eBay
Hyo wanaku2mia kwa njia gani? Ni free shipping?
wataship kwa S.L.P nililotumia njia iliyowekwa Ni Royal Mail International mara nyingi hii mzigo unifikia after 9days iwapo seller akiship out siku inayofuata baada ya payment
shipping fee ipo imewekwa ni just 8.75$
Modem yenyewe 38.7$
Kwa mfano mimi cna S.L.P, naweza kuweka anuani ipi ili niweze kupata mzgo wangu?
kwa Tanzania bila S.L.P ni vigumu mzigo ukufikie labda uwambie waship kwa DHL ambayo unaweza kuta bei iko juu kibishi
Nakushauri kafungue SLP kuna uzi umu unaongelea na wanasema ni bei rahisi mm mwenyewe sina SLP ila natumia SLP ya chuo na sidhani kama unaweza ibiwa kitu chako sababu seller anao uwezo waku-track huo mzigo hivo kama zimechezwa njama atawashtukia tu nawatakuwa responsible hata wao wanaogopa kufanya haya mambo.
All in all fungua SLP nahisi inabidi ule uzi wakufungua SLP ufufuliwe sijui tuuupataje maana search box naona inazingua
Ili kuipata unatakiwa vgezo gani? Na gharama za kuipata hyo card ni zipi?
Kadi ya kupigia kura au Driving Licence. Gharama ni U$20.00 kwa akaunti ya dolla inadumu miaka miwili kabla ya ku expire. Inafanya kazi kama kadi nyingine yoyote lakini hawana gharama nyingine kama monthly charges isipokuwa ukitoa kwenye ATM yao tu au ATM ya bank nyingine ambayo ina support VISA au MASTERCARD.