kwa Tanzania bila S.L.P ni vigumu mzigo ukufikie labda uwambie waship kwa DHL ambayo unaweza kuta bei iko juu kibishi
Nakushauri kafungue SLP kuna uzi umu unaongelea na wanasema ni bei rahisi mm mwenyewe sina SLP ila natumia SLP ya chuo na sidhani kama unaweza ibiwa kitu chako sababu seller anao uwezo waku-track huo mzigo hivo kama zimechezwa njama atawashtukia tu nawatakuwa responsible hata wao wanaogopa kufanya haya mambo.
All in all fungua SLP nahisi inabidi ule uzi wakufungua SLP ufufuliwe sijui tuuupataje maana search box naona inazingua