Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,351
Ndiyo lakini kutoa ni kwa banki zote ambazo zina support Viza na Mastercard.Kwahyo tyr unakuwa na akaunt kwao. Na una uwezo wa kutoa na kuweka hela kama kawaida?
Achana na Zip Code maana kwa Bongo ni kama hatuna, unachotakiwa ni kujaza correct address kama ni na mwisho malizia Tanzania, yeye atajua Tz iko wapi, mkoa gani mf Tanga, Tanga wapi Tanga Mjini Mtaa gani Mtaa wa Saba, Box 1145 mzigo utakufikia bila shidaBaada ya kuwasiliana naye na kusahihisha shipping address, amenitumia swali lifiatalo " IS THIS THE CORRECT ZIP CODE? +255
Sasa hapo nimjibuje?
Achana na Zip Code maana kwa Bongo ni kama hatuna, unachotakiwa ni kujaza correct address kama ni na mwisho malizia Tanzania, yeye atajua Tz iko wapi, mkoa gani mf Tanga, Tanga wapi Tanga Mjini Mtaa gani Mtaa wa Saba, Box 1145 mzigo utakufikia bila shida
simu yangu ya htc ilipasuka kioo, nikatafuta weee, mwisho kuna mtu humu jukwaani akanitajia fundi yupo posta anaitwa sele. nikaenda kufika kaniambua kioo kipo ila bei laki, haipungui wala nini, nikaona pagumu.
mwezi uliopita nikaamua nijaribu ebay nikakuta vioo kibao nikachagua model yangu, nikalipia kwa paypal, kama elfu 36 tu na free shipping.
baada ya wiki 3 nimekipata kioo.
kwa wale wanaohofia kuibiwa au kutapeliwa, mie nimepata bidhaa niliyonunua, nanyi msisite kununua.[/QU
mkuu mie nataka simu je nifanye nini ila nipo TABORA.
NImenunua kwa gharama ya TSH 644300.. Hii ni pamoja na gharama ya usafirishaji. Simu niliyonunua ni Samsung S4 mini.
Maduka mengi ya Tanzania niliulizia bei yake ilikua 850,000 na kuendelea. Baada ya kusoma post ya C6 kwamba amefanikiwa kununua kitu ebay na kukipata, na mimi nikapata ujasiri wa kununua.
Note: Nilitengeneza akaunti ebay, kisha nikachagua simu ninayoitaka, baada ya kuona wana ship Tanzania kwa kutumia FedEx ndio nikaamua kununua. Baada ya kununua nikapewa no kwa ajili ya kua na track mzigo wangu. Siku ya jumatatu asubuhi nikapigiwa simu na mtu wa FedEx kua mzigo wangu umefika. Nikaenda FedEX nikachukua simu yangu ikiwakwenye box lake.
Kwenye picha chini hapa unaweza ukaona namna nilivyokua nautrack mzigo wangu
View attachment 113510
View attachment 113511
Ikiwa unahitaji maelezo zaidi usisite kuniuliza. Ila ninaweza kuchelewa kukujibu kutokana na shughuli ninayoifanya
Inategemeana na aina ya kitu ukichonunua maana ushuru unatofautiana. Lakini gharama nyingine za ziada hakuna.Jamani tunaomba feedback kwa wale walionunua vitu hivi karibuni kwa njia ya Posta,vipi gharama?
Pesa haiendi E bay bali kwa seller na seller wengi hawashipi bila kupata clear payment.haina haja ya kuogopa ebay.. ukilipa hela haiendi kw muuzaji, inaenda ebay kwanza, hadi upate ulichotumiwa ndio analipwa muuzaji sasa akuibie vipi hapo? hata ukikuta mali mbovu unarudisha refund inafanyika
Inategemeana na aina ya kitu ukichonunua maana ushuru unatofautiana. Lakini gharama nyingine za ziada hakuna.
Binafsi niliagizaa camcoder Sony Z1U pamoja na tripod yake vilifika haraka na nila shida.
Nilitumia P. O. BOX
1. nenda ebay.com kisha register chagua customer au kama wewe ni muuzaji chagua akaunti ya merchant.
2. kujiunga inabidi kadi yako ya benki (visa/mastercard) iwe imesajiliwa kwanza kununua mtandaoni, kisha nenda paypal.com weka details zako na za kadi yako kisha watakutumia verification code (yangu nilichukua crdb) hapo kadi yako itakuwa verified tayari na paypal.
3. nenda sehemu yoyote. wanayokubali paypal nunua chochote, ingiza. detail za paypal, watakata gharama za icho kitu basi umemaliza
very easy
Naanza elewa somo sasa, wacha niusome uzi wote mpaka mwisho naamini ntapata mengi.
Ulilipa ushuru mkuu?
Beware of scammers
Mkuu,inaweza kuwa ndivyo sivyo.Usikute wanaodai kuwa wanapata vitu vyao kwa njia ya posta ndo WALEWALE.
Mwamba ngoma ngozi huvutia kwake. Akili kumkichwa.
Habari za siku nyingi eBayers.Baada ya kuwasiliana naye na kusahihisha shipping address, amenitumia swali lifiatalo " IS THIS THE CORRECT ZIP CODE? +255
Sasa hapo nimjibuje?
Unaweza kutumia sanduku la posta la mtu wako wa karibu. Ila kwenye anuani ni vizuri uweke namba ya simu. Kama ukinunua bidhaa ambazo zina thamani kubwa,si mbaya ukitumia Courier Service Companies,mzigo hautapitia kwenye sanduku la posta,isipokuwa kwa ajenti wa kampuni husika.Mimi sina sanduku la posta. Nikinunua bidhaa pale ebay ntapokelea wapi mzigo?