Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,368
Mkuu kwenye kuji"register na ebay kuna sehemu unaambiwa uandike postal code,
Hii ni kitu gani kwa maana ukiandika p.o box inakataa
Asante
Mkuu kwenye kuji"register na ebay kuna sehemu unaambiwa uandike postal code,
Hii ni kitu gani kwa maana ukiandika p.o box inakataa
Asante
ingia TCRA website utazikuta
lkn ya DAR nimeikariri ni 11000
Mimi naagiza mizigo mingi kupitia posta throgh USPS lakini inatakiwa kuwa makini kwani siku moja wakati nachukuwa mzigo wangu kuna jamaa alinitangulia kwenye foleni alichukuwa mzigo wake na kusaini kwene risiti kwenda nje na kufungua akakakuta mzigo umeibiwa ikala kwake kwani alitakiwa kufungua mbele ya mfanyakazi wa Posta lakini pale Posta counter palivyokaa hapakupi nafasi na kufungua na kufanya witnerssing
kawaida paypal(Ebay wakiku refund pesa yako huwezikuiona bank isipokuwa utaiona kwenye paypal account yako
kununua kitu ebay au sehemu yoyote kwanza angalia zile shipping conditions zake kama wanasafirisha worldwide.kuna wengine wanataja baadhi ya nchi tu so ni vizuri ukaangalia wale wanaotuma worldwide.about crdb hata mm nawatumimia hao jamaa(crdb) kununua vitu online,link akaunti yako ya benki na paypal then anza kununua vitu.transaction inafanyika automatikali kutokana na viwango vya kubadilishia pesa vya siku unayonunua so yes unaweza tumia akaunti yako ya pesa ya madafu kununua bidhaa online.paypal ni watu makini sana kwenye kuwezesha biashara ya mtandaoni.wamenilink kununua vitu vingi sana ebay,amazon,na europe na hata china.just kuwa mwangalifu kuangalia sifa za muuzaji kabla ya kununua kitu.me baada ya kupata maelezo kdogo ya hii ebay apa jf nikaamua kuingia kwenye web yao na nkakuta vtu bei cheap sana hasa.malaptops sasa knachonchanganya n kuwa kla nkiclick buy wanaweka selection za nch na Tanzania haimo sasa apo inakaaje? en vp kuhusu paypal coz me nataka nkafungue a/c CRDB na naweza kutumia a/c yang ya TSHS kununua vtu online yaan i mean wafanye exchange wenyewe online?
Mi pia hii kitu imenikuta kuna watu nilifanya nao biashara tukashindana wakani refund dola 149 wakantumia mpaka screen cast ila Crdb haionekani nimefatilia mpaka makao makuu chenga, nini natakiwa kufanya ili nizipate maana nimegundua paypal ya bongo haina option ya ku receive pesa
Hapa inabidi uwasiliane na watu wa paypal ili waweze kutransfer hela yako kwenda account ya mastercard yakokawaida paypal(Ebay wakiku refund pesa yako huwezikuiona bank isipokuwa utaiona kwenye paypal account yako
Hapa inabidi uwasiliane na watu wa paypal ili waweze kutransfer hela yako kwenda account ya mastercard yako
Njunwa wa mavoko Aisee Mimi nimenunua hoi kitu but nimeeka box ya ofisin kwa bro wangu je inaweza kuwa salama ? Shipping ni free na item tayari ishakuwa shipped
Pia guys chekini hii site nao wanatumia PayPal nimeona hiyo camera aisee nimevutiwa alaf ni free shipping worldwide cheap as hell
http://dx.com/p/digipo-hdv-p72s-1-3...hdmi-sd-brown-3-0-tft-lcd-127522#.UvpQNcv6g24