Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Mkuu kwenye kuji"register na ebay kuna sehemu unaambiwa uandike postal code,

Hii ni kitu gani kwa maana ukiandika p.o box inakataa

Asante

Ingia web ya TCRA au search humu jf waliwai weka link postal code za mikoa ya bongo yote

Kwa Dar tumia 11000
 
Mimi naagiza mizigo mingi kupitia posta throgh USPS lakini inatakiwa kuwa makini kwani siku moja wakati nachukuwa mzigo wangu kuna jamaa alinitangulia kwenye foleni alichukuwa mzigo wake na kusaini kwene risiti kwenda nje na kufungua akakakuta mzigo umeibiwa ikala kwake kwani alitakiwa kufungua mbele ya mfanyakazi wa Posta lakini pale Posta counter palivyokaa hapakupi nafasi na kufungua na kufanya witnerssing
 
Mm naona mnawasingizia posta hamna mtu wa kukuibia vinginevyo anaweza mwaga unga
Assume ume-open dispute na seller akawashika aliowakabidhi na series ikaja hivo ikaja kubainika umepotelea bongo na aliyekuwa responsible kushikwa si huyo lazima AMWAGE UNGA?
 
kawaida paypal(Ebay wakiku refund pesa yako huwezikuiona bank isipokuwa utaiona kwenye paypal account yako
 
ila uzuri unaweza ukaitumia hiyo refund kununulia product nyingine, sema ndio usubiri sana
 
me baada ya kupata maelezo kdogo ya hii ebay apa jf nikaamua kuingia kwenye web yao na nkakuta vtu bei cheap sana hasa.malaptops sasa knachonchanganya n kuwa kla nkiclick buy wanaweka selection za nch na Tanzania haimo sasa apo inakaaje? en vp kuhusu paypal coz me nataka nkafungue a/c CRDB na naweza kutumia a/c yang ya TSHS kununua vtu online yaan i mean wafanye exchange wenyewe online?
kununua kitu ebay au sehemu yoyote kwanza angalia zile shipping conditions zake kama wanasafirisha worldwide.kuna wengine wanataja baadhi ya nchi tu so ni vizuri ukaangalia wale wanaotuma worldwide.about crdb hata mm nawatumimia hao jamaa(crdb) kununua vitu online,link akaunti yako ya benki na paypal then anza kununua vitu.transaction inafanyika automatikali kutokana na viwango vya kubadilishia pesa vya siku unayonunua so yes unaweza tumia akaunti yako ya pesa ya madafu kununua bidhaa online.paypal ni watu makini sana kwenye kuwezesha biashara ya mtandaoni.wamenilink kununua vitu vingi sana ebay,amazon,na europe na hata china.just kuwa mwangalifu kuangalia sifa za muuzaji kabla ya kununua kitu.
 
Mi pia hii kitu imenikuta kuna watu nilifanya nao biashara tukashindana wakani refund dola 149 wakantumia mpaka screen cast ila Crdb haionekani nimefatilia mpaka makao makuu chenga, nini natakiwa kufanya ili nizipate maana nimegundua paypal ya bongo haina option ya ku receive pesa
 
Mm CRDB nawadai kama 600$ nimejaza mafomu mpaka nimechoka

Propaganda yangu sasa nikufungua acc ambayo wanakupa card siku hiyo{cash card} ya banc ABC vinginevyo hesabu kama imekula kwako
 
kawaida paypal(Ebay wakiku refund pesa yako huwezikuiona bank isipokuwa utaiona kwenye paypal account yako
Hapa inabidi uwasiliane na watu wa paypal ili waweze kutransfer hela yako kwenda account ya mastercard yako
 
Yaani mm hiyo ya kuwa contact nimefanya sana lkn jibu nililopata nikuwa transaction ikiwa marked "REFUNDED" Maana yake hela imesharudishwa lkn hauioni wewe mshukuru Mungu ilirudi ila wengine tunashinda benk kudai hela yetu tunazungushwa
 
Njunwa wa mavoko Aisee Mimi nimenunua hoi kitu but nimeeka box ya ofisin kwa bro wangu je inaweza kuwa salama ? Shipping ni free na item tayari ishakuwa shipped
 
BOX za ofisi sio salama lakini kama imeandikwa JINA lake haina noma lkn itafija we subiri subiri maana posta hiko slow
 
Back
Top Bottom