Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,368
Mkuu nakushauri nenda banc ABC kafungue account ya cash card, it takes dk 20 tuu ila uwe na kitambulisho chako na tsh 5000/= ya kufungulia baada ya hapo wewe ni kuweka pesa na kufanya manunuzi tuu that simple
Sent from my iPad using JamiiForums
verfying paypal account is innevitable hata ufungue acc ya Bank gani...
Mkuu nilijaza p.o box 110 MWANZA.
Hapo inamaana hautafika mzigo au?
Wanajanvi vip kuna mtu anae fahamu manunuzi kupitia alibaba ya china?
kama yupo naomba anisaidie uzoefu wake wa usala wa hawa jamaa
Nadhani anachoulizia ni ikiwa hiyo kampuni ni salama sana kununua vitutumia debit card yako ambayo imewezeshwa online
Nadhani anachoulizia ni ikiwa hiyo kampuni ni salama sana kununua vitu
oh, my bad. alibaba ni salama kama ebay tu! japo vibaka kote wapo.
tumia debit card yako ambayo imewezeshwa online
Alibaba iko poa tu, ila unatakiwa kuwa makini sababu scam ni wengi sana tena wana website kabisa but most ya price zao ziko chini sana. Scam wengi wanapenda kutuma offer kwenye email ya mtu hata kama hujawauliza, ukiona email kutoka kwa supplier ambaye hujamuuliza product zake uje mostly itakuwa ni scam. So chakufanya usishawishike na bei ndogo wanayokupa, nenda kwenye alibaba home page na uandike jina la kampuni ya huyo jamaa kwenye search box ya suppliers. Kama hiyo kampuni haipo uje ni scam. kama ipo check years of supply, response feedback, na kama wapo escrow.
Wishing you luck.
oh, my bad. alibaba ni salama kama ebay tu! japo vibaka kote wapo.
verfying paypal account is innevitable hata ufungue acc ya Bank gani...
Jamani nashukuruni sana sababu nimejifunza mengi katika uzi huu. Na mimi nataka kuagiza accessories ila shida sina Tin number nataka kutumia DHL ili mzigo ufike salama. Ni piece moja tu. Sijui naweza tumia njia gani itakayonihakikishia napata mzigo. Hata kama itakuwa late ila usipotee maake pesa zenyewe ni za kudunduliza wakuu