Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Inakuwa refunded mara unapo verrify account yako ya paypal. Verification code inapatikana kwenye bank acc statement yako on the first transcation you made with paypal.
kwahiyo inatakiwa nikishafanya transaction ya kwanza nikachukue bank statement, na siwez kufanya transaction zaidi ya moja kabla sijafanya verification?
 
Ni vizuri kuverify acc yako mara baada ya kufanya hiyo transcation ya kwanza, pia unaweza fanya transcation zaidi ya moja kabla ya kuwa verified ila tatizo ni kama nlivyosema hapo juu.

Pia paypal wana limit fulani ya kiasi ambacho unaweza lipia online kama hujawa verified.

So ni uamuzi wako tu
 

Mkuu nimekupata vizur ahsante kwa maelezo mazuri.
 

mkuu vipi kuhusu huyu courier anaitwa royal mail international ni reliable, na je anafikisha mizigo hadi remoteness area?
 
Kubaki Arusha au kwenda Dar inategemea na nini umepanga kwenda kufanya.
Nathani point ya msingi hapa ungekuja na wazo lako kama ni biashara au kama wewe ni I.T. unategemea kwenda kufanya nn Dar au hapa Arusha.
 
Thanks brother

Your welcome, samahani sijaweza kukushauri ipasavyo kwa sasa kwa kuwa kuna shughuli imenibana hapa. Ila nakuahidi nikimaliza nitakushirikisha baadhi ya fursa zilizoko hapa arusha kulingana na fani yako ya I.T
 
ukiwa unanunua watakuuliza shipping adress iwe sawa na paypal au utabadili, ila details za paypl lazima ziwe sawa na card

Habari Wakuu,

Kuna mzigo nimeorder toka ebay na leo nimepata notification kuwa umetumwa. Sasa swali langu ni kuwa NAPATAJE MZIGO wangu pale utapofika endapo Shipping address niliyoweka HAINA P.O.Box bali ina Jina Kamili na namba ya simu. Na sehemu ya zip code nimeweka zile za TCRA japokuwa sina uhakika kama ziko helpful sana.

Kwa hiyo, Nii kwamba Ile Zip Code niliyoweka wataichukulia kama P.O Box au Ni kwamba mzigo ntauchukua at some office ambayo watanipigia simu pale utapofika? Au ni kwamba mzigo utapotea, Sababu nina imani Tanzania Hamna Door-to-Door Delivery

Shipping method ni STANDARD INTERNATINAL FLAT RATE SHIPPING.
 

Mimi sina p.o box ,natumia namba ya simu na jina langu tu. Mizigo yangu ikifika natumiwa sms na postag Hakikisha tu ,anayekuuzia atumie registered mail au parcels , hii itakusaidia kwa kuwa utakuwa na uwezo wa ku track status online
 
Nilichogundua hapa,.mambo yakienda vibaya utata upo kwenye kiingilishi,.
Unataanzaje kulalamika kwa watema mayai nghosha..
 
Angalizo nilishawahi kununua betri ya laptop haikufika so ni kitu kimoja kati ya vitu 40 ambacho hakikufika, na vitu hvyo vyote huwa vinakuja posta na sio dhl.
ushauri kama ni kitu cha ghali tumia dhl.

Mkuu hapa unaposema kama ni kitu cha gharama tutumie DHL unamaanisha kuwa DHL ndio njia ya usalama zaidi kuliko posta sio?
 

Samahani mkuu,unaposema bora ifikie ofisini kwa mtu moja kwa moja inafikaje yaani kwa njia ipi sii ya posta???
 
Last edited by a moderator:
ukosawa kabisa kwani bank zetu zina riba kubwa sana mfano nilikwenda nmb na nbc ±bank ya posta kuchukua mkopo wanamakato makubwa sana nilihahirisha kabisa kwanjinsi hii hatutoki kimaisha nitawatembelea barclays nao nione
 
njunwa wamavoko naomba unijuze hili: nilinunua software moja (you tube downloader) mwaka juzi 2013 na niliinstall kwny laptop yangu mara moja tu na nilipojaribu kumpa mshkaji wangu naye ainstall iligoma

SWALI: Hivi hizi software zinazouzwa online ni kwa ajili ya user mmoja pekee na huwa inastay kwny pc/laptop kwa muda gani? Mfano niki uninstall thn ni install tena itakubali? Naomba msaada kwa hilo.
 
Last edited by a moderator:

kama ni for single user strictly kama antivirus basi uki uninstall ndo imeisha hivo nafikiri

Ila kuna software nyingine ali mradi una keys basi hata rafiki zako wanaweza kutumia.....

Kilichonichekesha ni hicho tu cha Kulipia Utube downloader wakati ziko free
 

Shukran mkuu,niliinunua kwakuwa sikujua btw nilinunua pia kwa kujaribu kwa mara ya kwnz kununua online hiyo pamoja na picha ya ukutani.
 
Hizi ndio zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…