Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,535
Nipo BancABC cash card.Ebay watairudisha fedha Paypal
Paypal watairudisha kwenye Bank husika.
Kuna baadhi ya benki - Automatic refund utaipata baadabya saa 72
Na kuna baadhi ya benki - Inakubidi usubiri zipite siku 3 hadi 5, ndipo uende benki kufuatilia au upige simu au utume email ndik fedha yako itashughulikiwa na utaiona katika balance yako.
Utakuja PM uniambie ni benki gani, ili nikushauri jinsi ya kufuatilia.
Karibu
Hatimaye wamenirefund Ila bado hazijaingia kwenye AccEbay watairudisha fedha Paypal
Paypal watairudisha kwenye Bank husika.
Kuna baadhi ya benki - Automatic refund utaipata baadabya saa 72
Na kuna baadhi ya benki - Inakubidi usubiri zipite siku 3 hadi 5, ndipo uende benki kufuatilia au upige simu au utume email ndik fedha yako itashughulikiwa na utaiona katika balance yako.
Utakuja PM uniambie ni benki gani, ili nikushauri jinsi ya kufuatilia.
Karibu
Ndani ya saa 72, fedha inatakiwa ionekane kwenye account yako.Hatimaye wamenirefund Ila bado hazijaingia kwenye Acc
View attachment 613766 View attachment 613766
View attachment 613767
Equity Bank hawana charges yoyote unaponunua bidhaawakuu naomba mnisaidie nina account paypal na crdb lkn nikienda crdb na kijaza ile form yao ya kulink acc yangu iweze kununua mtandaoni huwa sipati majibu kabisa au ni benk gani wapo.faster nipo mara,rorya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya kufungua shitaka inabidi kwabza awasiliane na muuzaji angalau mara mbili kupitia mfumo wa ebay. Asome customer protection policy ya ebay imeeleza yoteJipe muda wa siku 5.
Then fungua shitaka la kuomba refund ebay.
Tayari amepata refund. Seller hakuwa genuine kwa bidhaa husika.Kabla ya kufungua shitaka inabidi kwabza awasiliane na muuzaji angalau mara mbili kupitia mfumo wa ebay. Asome customer protection policy ya ebay imeeleza yote
Wanamakato ya TZS 300 tu, bila kujali ni muamala wa kiasi gani umefanya.Equity Bank hawana charges yoyote unaponunua bidhaa
Ok basi huwa sinote hiyo amountWanamakato ya TZS 300 tu, bila kujali ni muamala wa kiasi gani umefanya.
Ndio benki pekee yenye makato kidogo zaidi.
Fedha imerudi fresh tu ndani ya masaa 48Ndani ya saa 72, fedha inatakiwa ionekane kwenye account yako.
Iwapo haito onekana, print ukurasa wa refund paypal na nenda banki na watafanyia kazi.
HongeraFedha imerudi fresh tu ndani ya masaa 48
Poa Kamanda ila Ebay wanasisitiza nifuatilie postal kama mzigo utakuwa umeingia nifanye mawasiliano na Seller kwaajili ya kulipanaHongera
Hakika kuna kitu tayari umejifunza kuhusu ebay.
Sidhani kama kosa litajirudia tena.
Karibu
Zote waweza link.ila kwa mbali ipo nbc sasa je kati ya hizi ipi naweza link na PayPal msaada wakuu????
kwa NMB ni card ipi inafaa au yeyote maana kuna hizi mastercard, visa card au yeyote tu???Zote waweza link.
Kikubwa cha kuzingatia: Fika benki husika, pata card, Na waifanyie actvation iwe tayari kuweza kufanya miamala mtandaoni.
Chukua Mastercardkwa NMB ni card ipi inafaa au yeyote maana kuna hizi mastercard, visa card au yeyote tu???
Iwapo imefanyiwa activation ili kufanya miamala mtandaoni hakuna tatizo. Top up na endelea na miamala mtandaoni.sasa mbona mimi wamenipa hii chapchap sijui
ngoja nikipata muda nitawaona nitatoa jibu hapaIwapo imefanyiwa activation ili kufanya miamala mtandaoni hakuna tatizo. Top up na endelea na miamala mtandaoni.